Wema Sepetu: Siwezi kumsapoti Diamond kwenye MTV Awards, nitaonekana ninajipendekeza

warumi. Umenichekesha et naenda kulipua bunge zima!... Kwenye interview za yy na zamaradi ngachoka mie!. Demu anaonyesha ni jinsi gan anaweweseka na penzi la dangote, ooh mara nilimpenda sana mara nilitaka nimzalie mtoto! Dah anatia huruma sio siri.

Ataweweseka sana mwaka huu, na ivi bwana wa maana hana kazi kukigawa ovyo kama pipi, atajiju, na uko bungeni wanawake wasimkubal wema, atawaambukizia waume zao magonjwa ya ajabu ajabu
 
Last edited by a moderator:
Ila Zari white party Mzuri jamani mweehe

Umenichekesha binamu, zari white party ni jina la project aiseeh, ahahaha umejua kunivunja mbavu, ulivyoitamka kama white party ndio jina la baba wa zari hihiiii dah umeua
 
warumi. Umenichekesha et naenda kulipua bunge zima!... Kwenye interview za yy na zamaradi ngachoka mie!. Demu anaonyesha ni jinsi gan anaweweseka na penzi la dangote, ooh mara nilimpenda sana mara nilitaka nimzalie mtoto! Dah anatia huruma sio siri.

SIpat picha uko bungeni, maana wema hanaga siri, kila kitu atakuwa anaropoka kwenye media, mmh na kule ukijifanya fyoko wanakuua, asifikirie kule kuna kuchambana kama anavyofanya kwa akina kajala, kule wanakumaliza, si alimuona amina
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana ikawa kweli Ali kiba akaomba sapoti ya wema na jokate sababu hata instagram wema anafollowers 700,000's,jokate ana 500,000's wakati msanii chipukizi Ali kiba ana 300,000's.
Kwa hali hiyo jokate na wema ni mastaa na wana umaarufu kuliko kiba

Hahahaha..
 
hadi hapo anajipendekeza tu,kumtajataja mtu asiye na time na wewe

Sasa kama ameulizwa je? Kwani alisimama ubungo mataa na kuanza kumtaja au aliomba kipindi TBC cha kumtaja tu? Aliulizwa sio Mara moja au mbili ndio maana alijibu. Jiwekeni kwenye viatu vyake ndipo useme ni kujipendekeza au lah.
 
Hivi ukiulizwa swali si unajibu? Wiki ilopita media zilimuuliza Mara nyingi sana atoe tamko kuhusu MTV votes na kupigiwa kura kwa diamond. Alichofanya ni kujibu alichoulizwa tu. Bubu akikaa kimya anaonekana kwa vile hana uwezo Wa kuongea sasa Leo bubu ameongea still anaonekana mbaya. Binadam hawana jema. Alafu huyu mnaemponda kila siku mbona hakauki vinywani mwenu??
 
Lazima mtu apanick
 
Attachments

  • 1435482026522.jpg
    1435482026522.jpg
    28 KB · Views: 380
Kipindi cha Wema ni chake na maswali anajipangia yeye aongelee nini na maneja wake anatimiza wajibu wa kuyauliza. Hii ni tofauti kubwa kama angekuwa anaulizwa na waandishi wa habari na wengine wa nje ya hata kampuni yake na sio kwenye kipindi chake. She is the one who wants to talk about Diamond, she is crying for him. She has to stop using his name to get viewers.
 
Hivi ukiulizwa swali si unajibu? Wiki ilopita media zilimuuliza Mara nyingi sana atoe tamko kuhusu MTV votes na kupigiwa kura kwa diamond. Alichofanya ni kujibu alichoulizwa tu. Bubu akikaa kimya anaonekana kwa vile hana uwezo Wa kuongea sasa Leo bubu ameongea still anaonekana mbaya. Binadam hawana jema. Alafu huyu mnaemponda kila siku mbona hakauki vinywani mwenu??

Kipind ni chake anapanga nini kiongelewe na kama swali lilikua la ghafla kwenye editing alikua na uwezo wa kukata hicho kipande
 
Hivi ukiulizwa swali si unajibu? Wiki ilopita media zilimuuliza Mara nyingi sana atoe tamko kuhusu MTV votes na kupigiwa kura kwa diamond. Alichofanya ni kujibu alichoulizwa tu. Bubu akikaa kimya anaonekana kwa vile hana uwezo Wa kuongea sasa Leo bubu ameongea still anaonekana mbaya. Binadam hawana jema. Alafu huyu mnaemponda kila siku mbona hakauki vinywani mwenu??
sio lazima kujibu kila swali unaloulizwa bi mdogo!
Mbona interview za elite people/watu wanaojielewa sana unakuta mtu anasema wazi kabisa kwamba siwezi kuongelea hilo?

Hapo bi mdogo umenoa aisee. Kama aliona ana deserve privacy rights, hakika angekataa kata kata kuzungumzia suala la diamond na kitu chochote chenye kutaja jina 'diamond' ama kumhusanisha diamond ndani yake!

Kiufupi ange declare kumpiga ban dangote all over her life.

Unless otherwise, yeye na fans wake wote 'wanajipempele' kwa chibu-!
 
Wema mnafiki tuuuu...
Bila kumtaja taja dai wqla haoni raha...ngoja aendeleee kufanya manenooo sisi ni vitendoooooo tuuuu
 
sio lazima kujibu kila swali unaloulizwa bi mdogo!
Mbona interview za elite people/watu wanaojielewa sana unakuta mtu anasema wazi kabisa kwamba siwezi kuongelea hilo?

Hapo bi mdogo umenoa aisee. Kama aliona ana deserve privacy rights, hakika angekataa kata kata kuzungumzia suala la diamond na kitu chochote chenye kutaja jina 'diamond' ama kumhusanisha diamond ndani yake!

Kiufupi ange declare kumpiga ban dangote all over her life.

Unless otherwise, yeye na fans wake wote 'wanajipempele' kwa chibu-!

Kumbuka ni elites hao hao wana propound for man's freedom. wema ana uhuru wa kuchagua kujibu au kutojibu. amechagua kujibu...what's wrong with that?? where is our rationality as humans??
 
Sasa kama ameulizwa je? Kwani alisimama ubungo mataa na kuanza kumtaja au aliomba kipindi TBC cha kumtaja tu? Aliulizwa sio Mara moja au mbili ndio maana alijibu. Jiwekeni kwenye viatu vyake ndipo useme ni kujipendekeza au lah.
Jibu rahisi..."sipo tayari kumzungumzia naseeb" baaaas akiendelea kujibu kila anapoulizwa atamtaja hadi uzeeni
 
Wameshanichosha mimi hao.........
Hebu nipe diet nipungue........unene umenikithiri............
 
Kumbuka ni elites hao hao wana propound for man's freedom. wema ana uhuru wa kuchagua kujibu au kutojibu. amechagua kujibu...what's wrong with that?? where is our rationality as humans??
sasa kama hataki kwanini aendelee kuzungumza?

Thats my issue here!

Mi naona kama yuko chupi mkononi tu! Bado anamtaka jamaa!
 
Hivi ukiulizwa swali si unajibu? Wiki ilopita media zilimuuliza Mara nyingi sana atoe tamko kuhusu MTV votes na kupigiwa kura kwa diamond. Alichofanya ni kujibu alichoulizwa tu. Bubu akikaa kimya anaonekana kwa vile hana uwezo Wa kuongea sasa Leo bubu ameongea still anaonekana mbaya. Binadam hawana jema. Alafu huyu mnaemponda kila siku mbona hakauki vinywani mwenu??

Media gani hizo zilizomuuliza atoe tamko kuhusu mtv votes? Ebu tutajie walau mbili.

Alafu hicho kipindi chake maswali anajiuliza mwenyewe alafu anajijibu mwenyewe. Mie naona dawa ni aache kujiuliza maswali yanayohusu Diamond automatically hatatakiwa kujijibu kuhusu Diamond.
 
Kama kweli Wema anao huo mpango wa kutangaza nia ya ubunge ajifunze kuondokana na roho za visasi.
 
Back
Top Bottom