Wamepoteaaaaaaa........sasa huyo mama akasimame makaburi sinza maana ck kapoteaaa.
wema na mama ake wanawaaibisha dada zake wema.wawaonye waache kuwa dhalilisha.pili Mama wema jamani kaumia kweli kajala alivyomchukua CK kuliko hata alivyochorwa picha.sasa halafu anasema wazi kajala kaibba bwana wa wema hivi we mama mwannao aliolewa kwa ndoa ipi.msikitini au kanisani??.yaani ck sijui alikua anatoka na wote hata sijui.mama mzima kutokwa na povu hivi kisa nini jamani.nimeamini kajala ni bomu la nuclear watu lazima waliogope.yaani mtu na mama ake wako hoi ICU.

Uwiiiiii mbavu zangu jamani!!!!Nnya ya wema mwenzenu hata siielewagi.M.a.t.a.k.o marefuuuu yameanzia kiunoni mpaka nyuma ya magoti.Kwani hiyo nayo ni shepu?
Hebu angalieni/ sikilizeni hii clip ya Wema akimtukana sijui mlinzi au mfanyakazi wake yule...
Inachekesha kweli! Hana tofauti kabisa na mama yake na inavyoonekana ni karithi kutoka kwa mama.
Uwiiiii jamani missstrong ninavyokupenda natamani nije lakini naogopa tindikaliiiii
Huyu Wema hana visebwengo vyake vije kujibu mashambulizi ya humu jamvini.
Yaan ni mateso bila chukiii,unajua alitaka amgeuze mbeba pochiii afanye anavyotakaa sasa wapi na wapii mimi kua bendera fata upepo noooo
Yaani kapagawa kweli kweli ujue
Teh teh Kajala kapiga bomu la hatari.....yaani bomu la Vietnam mpaka vitukuu chaliiii
ICU hhhhaaaaa,kajala nomaa sanaaa