Wamepoteaaaaaaa........sasa huyo mama akasimame makaburi sinza maana ck kapoteaaa.
wema na mama ake wanawaaibisha dada zake wema.wawaonye waache kuwa dhalilisha.pili Mama wema jamani kaumia kweli kajala alivyomchukua CK kuliko hata alivyochorwa picha.sasa halafu anasema wazi kajala kaibba bwana wa wema hivi we mama mwannao aliolewa kwa ndoa ipi.msikitini au kanisani??.yaani ck sijui alikua anatoka na wote hata sijui.mama mzima kutokwa na povu hivi kisa nini jamani.nimeamini kajala ni bomu la nuclear watu lazima waliogope.yaani mtu na mama ake wako hoi ICU.