Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wamepoteaaaaaaa........sasa huyo mama akasimame makaburi sinza maana ck kapoteaaa.

wema na mama ake wanawaaibisha dada zake wema.wawaonye waache kuwa dhalilisha.pili Mama wema jamani kaumia kweli kajala alivyomchukua CK kuliko hata alivyochorwa picha.sasa halafu anasema wazi kajala kaibba bwana wa wema hivi we mama mwannao aliolewa kwa ndoa ipi.msikitini au kanisani??.yaani ck sijui alikua anatoka na wote hata sijui.mama mzima kutokwa na povu hivi kisa nini jamani.nimeamini kajala ni bomu la nuclear watu lazima waliogope.yaani mtu na mama ake wako hoi ICU.
 
ICU hhhhaaaaa,kajala nomaa sanaaa
 
Teh teh Kajala kapiga bomu la hatari.....yaani bomu la Vietnam mpaka vitukuu chaliiii
 
Yaani kapagawa kweli kweli ujue
 
Huyu Wema hana visebwengo vyake vije kujibu mashambulizi ya humu jamvini.
 
Hebu angalieni/ sikilizeni hii clip ya Wema akimtukana sijui mlinzi au mfanyakazi wake yule...

Inachekesha kweli! Hana tofauti kabisa na mama yake na inavyoonekana ni karithi kutoka kwa mama.

Hahahaa tunda sawa na mti wake yani huyu tabia 199% maza wake
 
Last edited by a moderator:
Anayejilengesha analo.....Kajala kesho tuonane leaders.Tuyapange,na atakaependa kuja anakaribishwa vinywaji juu yangu saa 10 jioni

Uwiiiii jamani missstrong ninavyokupenda natamani nije lakini naogopa tindikaliiiii
 
Last edited by a moderator:
Yaan ni mateso bila chukiii,unajua alitaka amgeuze mbeba pochiii afanye anavyotakaa sasa wapi na wapii mimi kua bendera fata upepo noooo

Aisee hata mm ningekuwa kajala ningeirudisha hiyo hela masimango yamezidi. Au ningekuwa team kajala ningemshauri bosi wangu hazirudishe khaaaa imekuwa keroooo.
 
Teh teh Kajala kapiga bomu la hatari.....yaani bomu la Vietnam mpaka vitukuu chaliiii

jamani kajala mbaya sana kwanini lakini kuwapiga wenzie kitu cha fukushima...yaani ametoa nuclear radioactive za hatari mpaks nyasi zimekauka...hahaaaa.
 
Back
Top Bottom