ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Tutakesha kama cnn......
kwahiyo anafaa kuwa vazi la msibani au..miss trong you made my day....lol.
Du leo Miss Strong umewaamulia misukule ya bibie Wema.
Duuuh mama anajiona yuko rika moja na akina Wema
Tutakesha kama cnn......
Ndo mwake mpenzi.....yeye na mama yake ni BRN!!!
Kwa hiyo Mama na bintiye ni Big Result Now ,wasamehe kwa leo kwa heshima ya watoto wake wengine wanaojiheshimu.
24/7 no advets ni full live news...hahaaa
Habari ndo hyo......wanataka watawale nchi hata vitambulisho vya urai hawana.
Kama wamenuna watage yai kama la mbuni....ntawaona hodari.
Aje huku ashushuliwe na leo wikiend mbona ataomba poo .
Hasara kwao....kama walikuwepo pale alishindwa kutake any action??hata kumpokonya mic kama alikuwa amelewa.Tafsir niliyonayo ni kwamba walilidhia na ndio maana walishangilia.
Angalia ile clip tena utaelewa nisemacho.
Mkizidiwa mniite maana hamkawii kukimbia.
Mkizidiwa mniite maana hamkawii kukimbia.
Wamejificha....wanasoma kimyakimya natamani mmoja ajilipue!!!!
Sasa siku madame akiachwa si watabadilisha ID?????
Usiku mwema...lala wewe
Sikimbii.....heshima yako dada yangu.
kweli kabisa waliweza kabisa wangeweza kabisa mzuiia.hawa walipanga bwana hakuna ubishi.tena wema alikua anamsupport kabisa bi mkubwa aimpe air time kajala,basi hapo ndo bi mkubwa akapanda mori na kuanza kumtukana kajala na wazazi wake ambao hawahusiki kwenye ugomvi wa wema na kajala.wacha naye ahusihwe.
:flame:
Marhabaaaaaa........
wabaya umewaonaaaaaa?
sura nyeusiiiiii kama usiku wa saa 9