Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Kwa hiyo Mama na bintiye ni Big Result Now ,wasamehe kwa leo kwa heshima ya watoto wake wengine wanaojiheshimu.

Hasara kwao....kama walikuwepo pale alishindwa kutake any action??hata kumpokonya mic kama alikuwa amelewa.Tafsir niliyonayo ni kwamba walilidhia na ndio maana walishangilia.

Angalia ile clip tena utaelewa nisemacho.
 
hahaaaaaa...yaani hawa wawili domo na management yake na wema na team yake si wanachoka sana kwa kazi ya kuchekesha uma.
:deadhorse:
Habari ndo hyo......wanataka watawale nchi hata vitambulisho vya urai hawana.
 
kweli kabisa waliweza kabisa wangeweza kabisa mzuiia.hawa walipanga bwana hakuna ubishi.tena wema alikua anamsupport kabisa bi mkubwa aimpe air time kajala,basi hapo ndo bi mkubwa akapanda mori na kuanza kumtukana kajala na wazazi wake ambao hawahusiki kwenye ugomvi wa wema na kajala.wacha naye ahusihwe.

:flame:
Hasara kwao....kama walikuwepo pale alishindwa kutake any action??hata kumpokonya mic kama alikuwa amelewa.Tafsir niliyonayo ni kwamba walilidhia na ndio maana walishangilia.

Angalia ile clip tena utaelewa nisemacho.
 
Wamejificha....wanasoma kimyakimya natamani mmoja ajilipue!!!!
Sasa siku madame akiachwa si watabadilisha ID?????

Madame mimi au madame gani....siondoki mpaka mnipe jibu
 
kweli kabisa waliweza kabisa wangeweza kabisa mzuiia.hawa walipanga bwana hakuna ubishi.tena wema alikua anamsupport kabisa bi mkubwa aimpe air time kajala,basi hapo ndo bi mkubwa akapanda mori na kuanza kumtukana kajala na wazazi wake ambao hawahusiki kwenye ugomvi wa wema na kajala.wacha naye ahusihwe.

:flame:

Mama Wema anastahili sasa hvi kutukanwa kabisaa.....Team dengue,homa ya jiji na Team ukweli na uwazi mfanye kazi huko insta msituangushe.
 
Back
Top Bottom