tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
hapo kwenye bold... kuna mtu aliwahi kuleta thread kwamba IQ za watoto zinategemea sana IQ ya mama, siyo ya baba... so muwe waangalifu mnapotafuta mama wa watoto wenu
mixer ya kinyamwezi na kinyaturu lazima itoke bomba sana, ila usitegemee kitu kichwani.... ndukiiiii
Hahahaa eti ndala za m.kwere.Umeona eeee!!
Yaani ashukuru urefu unamsaidia angekuwa mfupi yule angekuwa kituko hatariii!!
Basi kazi wanayo.....wakikaa nchumari,wakikimbia nchale.
Aibu kwao.....wachonganishi.Na je mama watoto wanapogombana ukamchapa mtoto wa jirani na mpaka ukamtukana mama wa huyo mtoto,baadae watoto wakaelewana na kucheza pamoja.Kama mama utajisikiaje???
Wema alishiriki Miss Tanzania 2006 akiwa 18! Kama alidanganya basi alidanganya ile 2006 na sio sasa. Na kwa wakati ule, alionekana ni 18 kweli manake haya mataka taka aliyonayo sasa kv pombe na mikorogo alikuwa hajaanza!Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
Wema alishiriki u-miss akiwa na miaka 17, ilikuja kugundulika baada ya wapambe ambao hawakupenda ashinde yeye walikuwa wanamtaka JOKATE, wakachunguza na kuweka wazi Lundenga alipata wakati mgumu sana maana VODACOM walitaka kufuta idhamini, Lundenga akatupa hayo madai na akaishia kusema tu 'HAYA MASHINDANO YANAENDESHWA KWA GARAMA KUBWA SANA TUACHE WIVU" waka acha kubatilisha matokeo lakini wema alikuwa under age kushiriki umissWema alishiriki Miss Tanzania 2006 akiwa 18! Kama alidanganya basi alidanganya ile 2006 na sio sasa. Na kwa wakati ule, alionekana ni 18 kweli manake haya mataka taka aliyonayo sasa kv pombe na mikorogo alikuwa hajaanza!
Wema alishiriki u-miss akiwa na miaka 17, ilikuja kugundulika baada ya wapambe ambao hawakupenda ashinde yeye walikuwa wanamtaka JOKATE, wakachunguza na kuweka wazi Lundenga alipata wakati mgumu sana maana VODACOM walitaka kufuta idhamini, Lundenga akatupa hayo madai na akaishia kusema tu 'HAYA MASHINDANO YANAENDESHWA KWA GARAMA KUBWA SANA TUACHE WIVU" waka acha kubatilisha matokeo lakini wema alikuwa under age kushiriki umiss
Hii clip, inafanya nizidi kumshukuru Mungu kwa kunipa mama Mstaarabu, mwenye hekima na mcha Mungu. Sijawahi kumsikia mzazi wangu (wa kike wala wa kiume) akitamka maneno makali kama hayo... na mimi pia kwa sasa ni mama, sijawahi/ sitawahi kuyatamka mbele ya mabinti zangu na kwa mtu yoyote yule.
So u mean she z 25 now....manake 2006 mpk sasa ni 8 years....17+8=25....Na uzee ule BIG NOOOO......
Tafuta kwenye mtandao picha siku aliposhinda crown ya miss Tanzania uone alivyokuwa , huo uzee ni mambo makubwa aliyoyakimbilia umalaya, ulevi, kula hovyo hamna mazoezi na mikorogo ndivyo vilivyomfanya akawa hivyo. Hata lulu kuna wakati utafika watu hawatakubaliana na umri wake, mwili unahitaji kutunzwa wao wanauchezea tu.So u mean she z 25 now....manake 2006 mpk sasa ni 8 years....17+8=25....Na uzee ule BIG NOOOO......
Wakati kwenye party imeandikwa 26 loo watu wanajifanya wanamjua Wemaa
Ndio ukweli ana miaka 26 na alipata umiss akiwa 17 ila alipata crown wiki chache kabla ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, hata wewe wajua mtu anahesabu mwaka mwingine baada ya kuifikia ile siku aliyozaliwa na sio kila mwaka mpya unapoanza.Wakati kwenye party imeandikwa 26 loo watu wanajifanya wanamjua Wemaa
Waache wajishushe.....wengine umri wetu utaonekana kwenye msalaba.
umeamua naona !!!
kuniumiza mbavu
Yaan balaa......kila mtu ni under 25