Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wamejifungia, maana hamna hata mtu anayemtetea bibi wa watu mpaka nataka nijitolee kwa mkopo kumtetea ila nikifikiria kifurushi cha matusi nitakachoporomoshewa bora tu nifunge zip mdomo.Madame karibu castle milk stout.

Hivi mtu anaanzaje kumshabikia mtu ambaye hajui hata kama duniani kuna jina kama lake?
....Asante, karibu kipilau cha Eid.
Waache wafu wazike wafu wenzao.....Sie hai tuwazike marehemu wetu.
Mjini cha bure salamu tu, vingine vyote 'Pay First'
 
Haha wamekimbiiiiaaa...ukicheki page ya 1 mpk sijui 4...wanaroopoookaa....kujifanya wanamjua sana..kumbeeee....wema wema...wema myaaass

Hebu mie...😛eep:....
Huwezi kumjua mtu kiundani kama sio ndugu yako au laa ulikuwa housegir au houseboy kwake....
Kwa namba moja, nakataa mpaka kufa.
Namba mbili nadhani ndio stahiki yao.

Narudia tena, hebu mie....😛eep:
 
Maneno ya watu yanakera sana, mama naye hakuwa na sehemu ya kusemea aliyonayo moyoni mwake ikabidi aseme pale akijua team pinzani zitapata ujumbe
 

Haswaaaa

Na biblia inasema ' mwana mpumbavu ni mzigo wa ***** na mwerevu ni wa babae'
 
Kweli nimeamini asilimia kubwa ya watanzania hawana la kufanya! Kazi kukalia umbea na majungu mtadhani ni shibe au ndio utajiri!!!! Kwa taarifa yenu mama Wema shule ameenda.....kama ulikuwa hujui. Pili kwa walichomfanyia ana haki ya kutoa dukuduku lake lote kwa hao wabaya wake!!! Kwani mlitaka baada ya kuchorwa vile akae ndani na kuumia kimya kimya kwa kuwa anaogopa au.....au akimbilie kamba kujinyonga kwa kumdhalilisha!? Sasa pale ndio pazuri amepata pa kuelezea dukuduku lililo moyoni, na kwa walio husika kumchafua hajakosea......KONYO KONYO ZAO WOTE!!!!!!
 

hatukushangai we mwenyewe ndo walewale
 
Kila birthday yake anatima miaka 26, hakuwi na ndio maana tabia yake ipo palepale habadiliki.
 

Naona housegirl wa kajala amecharuka! Sasa unaongelea kumsupport mtu huku ukitukana wengine halafu unaleta habari za domo!!! Huyo domo ni nani na una kipi cha kumkaribia huyo domo!? Pole yenu naona mmeishaanza kumtamani.....msijaribu kusogea mtatoswa baadae, yule ni wa wema tu!!!!
 

Wazee wako hivyo ..ushauri tutaupata wapi..na iweje mzazi unajiingiza kwenye malumbano ya watoto huku ukimtetea mwanao ni upuuzi..ukirejea hata interview alofanya na zamarad aliongea pumba tu..KWA MANENO HAYO YAMETOSHA KUMVUA NGUO MWENYEWE KABLA HATA YA KUCHORWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…