Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?


Thats true mastaa kibao wana mama zao ila hawaingilii skendo za wanao. Huyu mama ye na bint yake wote hamnazo.

Malez hujielezei watu watayaona wenyewe kama ulilea au ulichemka.
 
Last edited by a moderator:

Wew sijui me au ke ulipolalia ndo nilipoamkia...usikurupuke tu na kuvamia mambo hadi pm umenifata si bure unawashwa wewe..na kama we ni me hasara tupu.....nisogeleee kipi pale cha kumtamani domo...am not interested na cheap publicity naenvy watu wenye status zao za maana na sio hilo domo la tandale....naona unekurupuka huko na kufata watu hadi pm vipi mbona shipa limekutoka umelipwa sh. ngapi kwa kaz yako ya leo
 
Nasikia mama wema alimtumia clement message akiomba msamaha kwa mwanae ili arudiwe, jamaa kagoma, nasikia wamehangaika kumrudisha ila wapi

Binamu pm yangu hujaiona au dharau??? Au we hujala pilau leo niniii aaa nijibu
 

ushawahi skia mzazi wa kajala anaingilia ujinga wa wema na mamake
acha kutetea upuuzi au ndo life style ya kwenu matusi
huna lolote na ujinga ujinga wenu wa kusifiana ig huko
 
Inatosha sasa mpumzike msiwe kama wachawi.
 

Huna lolote watu heavy wanataka watu kama ww CNN....kitulize mwanamke!!!!
 
ushawahi skia mzazi wa kajala anaingilia ujinga wa wema na mamake
acha kutetea upuuzi au ndo life style ya kwenu matusi
huna lolote na ujinga ujinga wenu wa kusifiana ig huko

Kwani hilo tukio unadhani linamuda gani limetokea!? Kama imemuhusu ataongea bado muda upo, na kama anajua haijamhusu hawezi kuongea cha ajabu mashankupe wanakaa kuongelea wengine!!!!!
 
Sasa unaongelea hutashangaa katukanwa....na mama wema alianza tu hivi hivi!?

Unauliza majibu au???hata kama kama alichorwa sasa anavyomtukana kajala ndo aliemchora???

Huyo Wema lini aliolewa mpaka aseme kaibiwa mume??Mwanae kila anayemtia mumewe??mbona Jumbe alikuwa hamng'ang'aniii???

Leta hoja ya maana sio kisa ulikaribishwa futari na Wema basi shibe unayo mpaka.
 

Mamaa wa vigodoro umeingia.....mdomo mali yako hulipii. Kwani huyo ck ndie anaemfanya yupo mjini mpaka amshobokee!? Alichokiongea ni kutokana na story zilizopo.....mke wa mtu mwizi wa mume wa mtu!!! Kama mnadhani huyo ck wenu ndio bonge la bwana....hongereni, na yy ndie aliyeonga gari.
 

Kama domo ndiye bonge la bwana mbona hajamnunulia wema vile vifaa vya ofisi hadi leo endless fame imebaki historia?hiyo murrano kama sio team wema kupiga kelele madame wao anachakazwa for nothing angemnunulia?kama ndio mbona hakuwahi kuonyesha mfano kabla?angemnunulia japo starlet jamani tujue anampenda kuliko murrano ya kulazimishwa...
 

Vigodoro vilimkwamisha boss wako wema asiende kwenye tuzo za BET madai yake....chezea kufulia nini??sagula sagula mitumba.....oryaaaaa eti kamuonga Wema gari najua mmeumia na mnazidi kuumia maana mlikuwa hamuendi choon bila ck....sasa imekula kwenu imebakia story.
 

Big up Team Ebola! No tym to argue with u....u just know talking too much, as u know they talk and act!!! Keep on praising and worship him as he shall exalt you!!!! Bye..
 
Ndo nimeingia humu sasa hivi....nilienda kwenye uzinduzi wa John Lissu diamond.

Hebu niambie anasemaje.....kama ana hoja apite nyuma apakuliwe.

Ayaaaaaa
Hiv unajua nilikuwa Cjakusoma kabisa. ..
Yaani ningejya c tungeenda wote nulikosa kampani navyompenda lissu dah!!
Nway Ckunyingine uwe unanistua wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…