Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kim nana
kuna mastaa wangapi wanatukanagwa apa bongo na wazazi wao hawajihusishi na mambo ya watoto wao? Kwani wenyew ndo hawajazaliwa? Huyo mama wema ni mswahili na shangingi, mbona jackline wolper walimtukana sana na kumwambia ananuka K , wewe uliona mama yake kaingilia hata siku moja? Mama wema mswahili sana yule na dawa yake ipo jikoni lazime akimbie mji huu naona ile picha bado hajakoma nayo
Naona housegirl wa kajala amecharuka! Sasa unaongelea kumsupport mtu huku ukitukana wengine halafu unaleta habari za domo!!! Huyo domo ni nani na una kipi cha kumkaribia huyo domo!? Pole yenu naona mmeishaanza kumtamani.....msijaribu kusogea mtatoswa baadae, yule ni wa wema tu!!!!
Nasikia mama wema alimtumia clement message akiomba msamaha kwa mwanae ili arudiwe, jamaa kagoma, nasikia wamehangaika kumrudisha ila wapi
Naona housegirl wa kajala amecharuka! Sasa unaongelea kumsupport mtu huku ukitukana wengine halafu unaleta habari za domo!!! Huyo domo ni nani na una kipi cha kumkaribia huyo domo!? Pole yenu naona mmeishaanza kumtamani.....msijaribu kusogea mtatoswa baadae, yule ni wa wema tu!!!!
Wew sijui me au ke ulipolalia ndo nilipoamkia...usikurupuke tu na kuvamia mambo hadi pm umenifata si bure unawashwa wewe..na kama we ni me hasara tupu.....nisogeleee kipi pale cha kumtamani domo...am not interested na cheap publicity naenvy watu wenye status zao za maana na sio hilo domo la tandale....naona unekurupuka huko na kufata watu hadi pm vipi mbona shipa limekutoka umelipwa sh. ngapi kwa kaz yako ya leo
ushawahi skia mzazi wa kajala anaingilia ujinga wa wema na mamake
acha kutetea upuuzi au ndo life style ya kwenu matusi
huna lolote na ujinga ujinga wenu wa kusifiana ig huko
Uliza vizuri mzee akiwa judge mwanza ndio alimpata huyo maza alikua house girl,huyo dada yke katumia fursa vizuri kuliko angebaki hpa
Sasa unaongelea hutashangaa katukanwa....na mama wema alianza tu hivi hivi!?
Unauliza majibu au???hata kama kama alichorwa sasa anavyomtukana kajala ndo aliemchora???
Huyo Wema lini aliolewa mpaka aseme kaibiwa mume??Mwanae kila anayemtia mumewe??mbona Jumbe alikuwa hamng'ang'aniii???
Leta hoja ya maana sio kisa ulikaribishwa futari na Wema basi shibe unayo mpaka.
Mamaa wa vigodoro umeingia.....mdomo mali yako hulipii. Kwani huyo ck ndie anaemfanya yupo mjini mpaka amshobokee!? Alichokiongea ni kutokana na story zilizopo.....mke wa mtu mwizi wa mume wa mtu!!! Kama mnadhani huyo ck wenu ndio bonge la bwana....hongereni, na yy ndie aliyeonga gari.

Huna lolote watu heavy wanataka watu kama ww CNN....kitulize mwanamke!!!!
Kwaio hoja yako imeishia nikitulize😕😕...acha wehu chako kimetulia ungekuja kumwaga povu hapa????
Vigodoro vilimkwamisha boss wako wema asiende kwenye tuzo za BET madai yake....chezea kufulia nini??sagula sagula mitumba.....oryaaaaa eti kamuonga Wema gari najua mmeumia na mnazidi kuumia maana mlikuwa hamuendi choon bila ck....sasa imekula kwenu imebakia story.
Binamu pm yangu hujaiona au dharau??? Au we hujala pilau leo niniii aaa nijibu
Ndo nimeingia humu sasa hivi....nilienda kwenye uzinduzi wa John Lissu diamond.
Hebu niambie anasemaje.....kama ana hoja apite nyuma apakuliwe.
Upo shoga angu...nimekumiss.