mama ako hana hekma
hana busara,hajielewi km ye mtu mzima na upeo finyu kifikra,
Na kmmlihisi watu watamtetea kwa ujinga ule poleni sana
ukweli roho inamuuma ck kuwatosa nyie lieni tu
Wadau, ni hivi majuzi tu mdada mwenye skendo zisizoisha Wema Sepetu alisherehekea birthday yake kutimiza miaka 26. Ni birthday iliyoacha gumzo na kwa upande mwingine maswali kibao hasa ukizingatia gharama na zawadi alizopewa.
Si lengo langu kuichambua hiyo sherehe kwa sababu kwa upande mwingine ana haki ya kufanya vile anavyoona nafsi yake inampendeza.
Nimepost uzi huu baada ya kukutana na kitu ambacho sikukitegemea kukiona kwa mzazi mwenye mtoto mkubwa kama Wema. Ni mara nyingi nimeona magazeti na media mbalimbali zikimuhusisha Mama Wema na skendo mbalimbali kuhusu mwanae.
Jana nimeshtuka sana maneno niliyoyasikia kutoka kwa huyu mama aliyoyatoa kwenye hiyo sherehe. Naomba wadau tuangalie hii video hapa chini, au uisikilize audio ambayo nimeiconvert kutoka kwenye hiyo video. Kisha tujadili mzazi wa namna hii analeta picha gani katika jamii.
Download Video hapa View attachment 189812
Download Audio hapa View attachment 189811
Eeeeh! Mtoto kadata mpaka anatamani mumewe angefia hukohuko.....anajuta kwann CK aliwahi maisha na yy kwann ameolewa yani!!!! Na kwako ww kwa kufuata mfano wa boss wako.....mwanaume atakaye kuoa atakushindwa na huo mdomo ndio usiseme! Utaishia kugongwa na kuachwa, sana sana utakuwa unaambulia nauli ya usafiri tu!!!! Bye bye...
Hizo papuchi ww huusiki!? Papuchi unapenda halafu unataka bure bure....wajinga waliwao! Kama unaona bure ndio mpango, fanya na ww ugawe bure! Out of topic....na wasiwasi na ww kama ni mwanaume halisi....naona imekuuma! Kama unapenda raha tafuta pesa kwa bidii ili usiogope kutumia, upate raha!!!
Huyo mama na shigongo kutwa wanavuta ndumu tena maskani yao Displine Camp sasa unategemea nini...
Natumia simu na situmii kompyuta na pili nipo likizo na tatu ujue kazi zetu zinatofautiana,kwakuwa umekariri na huwezi kufikiria nje ya box na nitashinda humu as long as napata muda wa kuwapa ushauri watu kama nyie tuokoe kizazi chenye mentor wao waongofu.
MKE WA MTU MWIZI WA MUME WA MTU!!! Hamuoni hata haya kuendelea kumuongelea huyo CK!? Mnamdhalilisha mwenzenu!!!!
Ha ha ha na tunaambiwa pafu moja miaka mia kichwani.......tusitegemee kama atabadilika.
Baba ee....we shinda tu humu si ndio kazi uliyonayo, mwanaume mzima kukalia umbea! Kwanza nakaa kudiscuss mada na watu wasio husika.....ushauri hautolewi humu.....humu umbea tuu!!!!
Wewe una papuchi gani ya kuuza ikanunulika???hata kimboka soko huna.....imebakia chakula ya inzi hyo.
Kasafishe utoko asubuh ndo uje.
Baba ee....we shinda tu humu si ndio kazi uliyonayo, mwanaume mzima kukalia umbea! Kwanza nakaa kudiscuss mada na watu wasio husika.....ushauri hautolewi humu.....humu umbea tuu!!!!
Wewe yako c ndio inauzika! Mtaishia kutamani kila anaekuja bila kufikiri mwisho mnaishia wapi......waishia kukojolewa na kuingiziwa uchafu tu....utabaki hivyohivyo chuchunge!!!!
Wewe yako c ndio inauzika! Mtaishia kutamani kila anaekuja bila kufikiri mwisho mnaishia wapi......waishia kukojolewa na kuingiziwa uchafu tu....utabaki hivyohivyo chuchunge!!!!
Yaani nilibarikiwa hatari.....Lissu ni balaa,alafu solomon mukubwa nae alinibariki sana bila kumsahau Mwasongwe + Ephraim sekereti
We unavyomtetea mama ako
huoni km unamdhalilish a mtu mzima hovyoo asiejiheshimu
kutw a na global kuuza sura mama wa wenzie kina wolper na uwoya wametulia tulii
eti mke wa baloziiii
jamaniiiii
asante mungu kunipa mama aliekua anajielew
mwambie hv"zake zishapitAAAaaaaa"
awaachie watoto ye ashakua nyanya asa hv
Unajua maudhui ya jukwaa hili, mbona bado upo si uliaga humu.Kasifianeni upumbavu wenu huko huko instagram ukija humu utanyooshwa na ushauri utapewa kwa manufaa yako na ukoo wako.Naenda jukwaa la siasa karibu kule, ni muda wangu kuperuzi majukwaa ya jf yote.
Pita kuleeeee........ulifuata nn kama sio mmbea no 1???Biashara yako yenyewe ya nyanya imeshatumbuka ndo basiiiii tena.
Unajua maudhui ya jukwaa hili, mbona bado upo si uliaga humu.Kasifianeni upumbavu wenu huko huko instagram ukija humu utanyooshwa na ushauri utapewa kwa manufaa yako na ukoo wako.Naenda jukwaa la siasa karibu kule, ni muda wangu kuperuzi majukwaa ya jf yote.