Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

mama ako hana hekma
hana busara,hajielewi km ye mtu mzima na upeo finyu kifikra,
Na kmmlihisi watu watamtetea kwa ujinga ule poleni sana
ukweli roho inamuuma ck kuwatosa nyie lieni tu

MKE WA MTU MWIZI WA MUME WA MTU!!! Hamuoni hata haya kuendelea kumuongelea huyo CK!? Mnamdhalilisha mwenzenu!!!!
 
Mkubwa mwenzangu kakosea. Ni kweli aliumia na kitendo cha kuadhirishwa mtandaoni, lakini kwenye sherehe ya mwanawe haikuwa mahali muafaka kutoa kinyongo chake tena kwa mitusi kama alivyofanya. Kama alivyosema anawajua team iliyomfanyia ubaya, angewatafuta na kuwakanya kama watoto wake lakini style aliyotumia, mh - tena kama lile tusi la mwisho, mie hoi.
Wadau, ni hivi majuzi tu mdada mwenye skendo zisizoisha Wema Sepetu alisherehekea birthday yake kutimiza miaka 26. Ni birthday iliyoacha gumzo na kwa upande mwingine maswali kibao hasa ukizingatia gharama na zawadi alizopewa.

Si lengo langu kuichambua hiyo sherehe kwa sababu kwa upande mwingine ana haki ya kufanya vile anavyoona nafsi yake inampendeza.

Nimepost uzi huu baada ya kukutana na kitu ambacho sikukitegemea kukiona kwa mzazi mwenye mtoto mkubwa kama Wema. Ni mara nyingi nimeona magazeti na media mbalimbali zikimuhusisha Mama Wema na skendo mbalimbali kuhusu mwanae.

Jana nimeshtuka sana maneno niliyoyasikia kutoka kwa huyu mama aliyoyatoa kwenye hiyo sherehe. Naomba wadau tuangalie hii video hapa chini, au uisikilize audio ambayo nimeiconvert kutoka kwenye hiyo video. Kisha tujadili mzazi wa namna hii analeta picha gani katika jamii.

Download Video hapa View attachment 189812

Download Audio hapa View attachment 189811

Eeeeh! Mtoto kadata mpaka anatamani mumewe angefia hukohuko.....anajuta kwann CK aliwahi maisha na yy kwann ameolewa yani!!!! Na kwako ww kwa kufuata mfano wa boss wako.....mwanaume atakaye kuoa atakushindwa na huo mdomo ndio usiseme! Utaishia kugongwa na kuachwa, sana sana utakuwa unaambulia nauli ya usafiri tu!!!! Bye bye...

Kakande papuchi yako.....maana ulivyoingia hili jukwaa harufu imetawala.Wewe na huyo kahaba mwenzio mnamiliki nini zaidi ya kivuli??Mkewe Kajumoz anakuja kuchukua gari yake.Pambaf....k kwenu mtaji wakati zinanuka nongo mnxxxxxuuuu
 
Hizo papuchi ww huusiki!? Papuchi unapenda halafu unataka bure bure....wajinga waliwao! Kama unaona bure ndio mpango, fanya na ww ugawe bure! Out of topic....na wasiwasi na ww kama ni mwanaume halisi....naona imekuuma! Kama unapenda raha tafuta pesa kwa bidii ili usiogope kutumia, upate raha!!!

Wewe una papuchi gani ya kuuza ikanunulika???hata kimboka soko huna.....imebakia chakula ya inzi hyo.

Kasafishe utoko asubuh ndo uje.
 
Natumia simu na situmii kompyuta na pili nipo likizo na tatu ujue kazi zetu zinatofautiana,kwakuwa umekariri na huwezi kufikiria nje ya box na nitashinda humu as long as napata muda wa kuwapa ushauri watu kama nyie tuokoe kizazi chenye mentor wao waongofu.

Baba ee....we shinda tu humu si ndio kazi uliyonayo, mwanaume mzima kukalia umbea! Kwanza nakaa kudiscuss mada na watu wasio husika.....ushauri hautolewi humu.....humu umbea tuu!!!!
 
MKE WA MTU MWIZI WA MUME WA MTU!!! Hamuoni hata haya kuendelea kumuongelea huyo CK!? Mnamdhalilisha mwenzenu!!!!

We unavyomtetea mama ako
huoni km unamdhalilish a mtu mzima hovyoo asiejiheshimu
kutw a na global kuuza sura mama wa wenzie kina wolper na uwoya wametulia tulii
eti mke wa baloziiii
jamaniiiii
asante mungu kunipa mama aliekua anajielew
mwambie hv"zake zishapitAAAaaaaa"
awaachie watoto ye ashakua nyanya asa hv
 
Baba ee....we shinda tu humu si ndio kazi uliyonayo, mwanaume mzima kukalia umbea! Kwanza nakaa kudiscuss mada na watu wasio husika.....ushauri hautolewi humu.....humu umbea tuu!!!!

Pita kuleeeee........ulifuata nn kama sio mmbea no 1???Biashara yako yenyewe ya nyanya imeshatumbuka ndo basiiiii tena.
 
Wewe una papuchi gani ya kuuza ikanunulika???hata kimboka soko huna.....imebakia chakula ya inzi hyo.

Kasafishe utoko asubuh ndo uje.

Wewe yako c ndio inauzika! Mtaishia kutamani kila anaekuja bila kufikiri mwisho mnaishia wapi......waishia kukojolewa na kuingiziwa uchafu tu....utabaki hivyohivyo chuchunge!!!!
 
Baba ee....we shinda tu humu si ndio kazi uliyonayo, mwanaume mzima kukalia umbea! Kwanza nakaa kudiscuss mada na watu wasio husika.....ushauri hautolewi humu.....humu umbea tuu!!!!

Unajua maudhui ya jukwaa hili, mbona bado upo si uliaga humu.Kasifianeni upumbavu wenu huko huko instagram ukija humu utanyooshwa na ushauri utapewa kwa manufaa yako na ukoo wako.Naenda jukwaa la siasa karibu kule, ni muda wangu kuperuzi majukwaa ya jf yote.
 
Wewe yako c ndio inauzika! Mtaishia kutamani kila anaekuja bila kufikiri mwisho mnaishia wapi......waishia kukojolewa na kuingiziwa uchafu tu....utabaki hivyohivyo chuchunge!!!!

Chefuuuu......mkojo kwangu mafuta nazidi kunawili,unatamani utufikie lakini tumekuacha mbaliiiiii.

Lazima ushupae...kojo unalomwagiwa wewe mixer miharage na minyanya chungu,protein gani utapata.

Mwanamke shart umwagiwe kojo la ukwee.Vipi kimboka hakukulipi???
 
Wewe yako c ndio inauzika! Mtaishia kutamani kila anaekuja bila kufikiri mwisho mnaishia wapi......waishia kukojolewa na kuingiziwa uchafu tu....utabaki hivyohivyo chuchunge!!!!

Umechanja mpaka k lakini haikulipi.....kaoshee mmavi mavi utuo gwasu.
 
Yaani nilibarikiwa hatari.....Lissu ni balaa,alafu solomon mukubwa nae alinibariki sana bila kumsahau Mwasongwe + Ephraim sekereti

Dah
Nitanunua tu dvd

Ila.mgeni rasmi aliniboa sn

Hiv msama ana matatizo gani, haoni maaskofu na wengine anatuletea mambo ya ccm.
!!!?
 
We unavyomtetea mama ako
huoni km unamdhalilish a mtu mzima hovyoo asiejiheshimu
kutw a na global kuuza sura mama wa wenzie kina wolper na uwoya wametulia tulii
eti mke wa baloziiii
jamaniiiii
asante mungu kunipa mama aliekua anajielew
mwambie hv"zake zishapitAAAaaaaa"
awaachie watoto ye ashakua nyanya asa hv

Watu hawashindani, they live the way they feel like.....hakuna kucopy.....iga ufe!!!!
 
Unajua maudhui ya jukwaa hili, mbona bado upo si uliaga humu.Kasifianeni upumbavu wenu huko huko instagram ukija humu utanyooshwa na ushauri utapewa kwa manufaa yako na ukoo wako.Naenda jukwaa la siasa karibu kule, ni muda wangu kuperuzi majukwaa ya jf yote.

Hahahaa
Hajui hili jukwaa ndo mahali yake haya mambo. ...
 
Unajua maudhui ya jukwaa hili, mbona bado upo si uliaga humu.Kasifianeni upumbavu wenu huko huko instagram ukija humu utanyooshwa na ushauri utapewa kwa manufaa yako na ukoo wako.Naenda jukwaa la siasa karibu kule, ni muda wangu kuperuzi majukwaa ya jf yote.

Nashangaa kila nikitoka naona naitwa kwenye hivi vijungu vyenu....kwahiyo maudhui ya jukwaa hili ni kukalia umbea....chagua topic za kuingia kijana! Mwanaume ambaye mwanzo mpaka mwisho anacomment kwenye umbea mmmh.....ful wasiwasi....keep it up!!!!
 
Back
Top Bottom