SebbyJ
Member
- Sep 25, 2014
- 36
- 2
mama ako hana hekma
hana busara,hajielewi km ye mtu mzima na upeo finyu kifikra,
Na kmmlihisi watu watamtetea kwa ujinga ule poleni sana
ukweli roho inamuuma ck kuwatosa nyie lieni tu
MKE WA MTU MWIZI WA MUME WA MTU!!! Hamuoni hata haya kuendelea kumuongelea huyo CK!? Mnamdhalilisha mwenzenu!!!!