Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Sa we elimu yake ingekukomeshaje????

Anapendaga sana kujifanya yeye ni expensive kuliko wasanii wengine kumbe ndo wale wale tu shule wamekimbia umande, hakuna cha diploma wala cheti yeye na kina aunty ezekiel ndo wale wale vilaza

Super star ambaye hana uwezo wa kumiliki hata vits mpaka ahongwe, hawez kujitegemea mpaka ahongwe na wanaume, wema anashindwa kujikubali kuwa yeye ni maskini wa kutupwa, anataka kujifananisha na familia zenye uwezo wakat wazazi wao hawana hayo maisha anayoyashobokea

Wema ana vitu vingi vya ziada kawazidi mastaa wenzie, ila akili hana, maisha hana
 
Maisha hana angekua anaishi kweli?????

vitu vya ziada alivyonavyo ni kama vipi...
 
Maisha hana angekua anaishi kweli?????

vitu vya ziada alivyonavyo ni kama vipi...

Ukitoa maisha anayoishi ya kuhongwa na wanaume, maana najua mpaka simu anayomiliki kahongwa, mabuzi wakiisha anarudi sinza meeda kwa bibi sepetunga

Ana vitu vya ziada kama umaarufu kuliko wengine , ila akili hana, we super sta mzima huna gari lako mwenyewe la kununua? Wema hajawahi kununua hata passo, ye anakinga mikono tu ili ahongwe na wanaume

Mi kilichonishangaza ni jinsi watu wanavyochekelea magar anayopewa wakat wema mwenyew anajua siku yeyote akiharibu magar yanarud kwa wenyewe
 
Nilikosea labda

Niliwahi kumsikia kwenye interview moja anasema alipokua marekani kwa dada zake alisoma certificate ya haya maswala yao muvi..sijui kuproduce,sijui nini
 
Hebu mcheki huyu maza wa uwoya ufananishe na hilo zee...limbukeni la mji

Mama ake wema angekuwa hvyo mmh ingekuwa shida, mama uwoya mzur kama mwanae, mama wema mikorogo imemuaribu kazeeka kabla ya wakat
 
Niliwahi kumsikia kwenye interview moja anasema alipokua marekani kwa dada zake alisoma certificate ya haya maswala yao muvi..sijui kuproduce,sijui nini

Hiko cheti tungekiona had instagram, hana cha cheti wala diploma ya course yeyote, dada yake mwenyew sidhan kama kaenda shule na yeye.

Wema kwao ni visu bwana, mama yao kazaa haswaa, kwa hilo pongezi zake, ila mitoto yake ndo kwa ukahaba sasa
 
Mama ake wema angekuwa hvyo mmh ingekuwa shida, mama uwoya mzur kama mwanae, mama wema mikorogo imemuaribu kazeeka kabla ya wakat

Umeona eeh...ss je hawa hawajaenda labour.?? Hawana uchungu...kaniudhi sana alivyowatukana wazazi wa kajala...wanahusikaje
 
Umeona eeh...ss je hawa hawajaenda labour.?? Hawana uchungu...kaniudhi sana alivyowatukana wazazi wa kajala...wanahusikaje

Anamuonea wivu kajala kuchukuliwa na clement, maana kajala maisha yake mazur kwa sasa, na mama wema kipindi wema yupo na cp mambo yalikuwa safi, kajala kalamba dume, halafu kajala ni kisu sana ni mzur kuliko wema, ana shepu original , sasa sijui ma wema alikuwa anamtaka clement, ndo atajiju sasa
 
aisee!!
so anapenda umaarufu jamani
wakati wengine hata wazazi wao hatuwajui na hawana habari
huyu mama mwehu
 
Eti mwizi wa waume za watu...wema mwenyewe sio mwizi ..huyo ck kamtoa wapi
 
Eti mwizi wa waume za watu...wema mwenyewe sio mwizi ..huyo ck kamtoa wapi

Uliza wa mama wa sinza wa miaka hiyo wanamjua mama wema vzur, yule mama ni shangingi haswa na alikuwa malaya, kampani yao ilikuwa akina mama hasheem thabeet kwa kupenda dogo dogo hawajambo
 
Uliza wa mama wa sinza wa miaka hiyo wanamjua mama wema vzur, yule mama ni shangingi haswa na alikuwa malaya, kampani yao ilikuwa akina mama hasheem thabeet kwa kupenda dogo dogo hawajambo

Sasa ndo ujiulize...km kweli alikua mke mwema kwanini asingeishi na mumewe Zanzibar....lol...ila watoto wa mke mkubwa kwa mzee sepetu wameenda shule...watulivu...kuna mmoja ni hakimu km sikosei huko zenji
 
Sio jaji tu mwanakwetu mpk uwaziri
 
Attachments

  • 1412311828887.jpg
    34.4 KB · Views: 263
  • 1412311843368.jpg
    31.6 KB · Views: 242
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…