Sa we elimu yake ingekukomeshaje????
Anapendaga sana kujifanya yeye ni expensive kuliko wasanii wengine kumbe ndo wale wale tu shule wamekimbia umande, hakuna cha diploma wala cheti yeye na kina aunty ezekiel ndo wale wale vilaza
Super star ambaye hana uwezo wa kumiliki hata vits mpaka ahongwe, hawez kujitegemea mpaka ahongwe na wanaume, wema anashindwa kujikubali kuwa yeye ni maskini wa kutupwa, anataka kujifananisha na familia zenye uwezo wakat wazazi wao hawana hayo maisha anayoyashobokea
Wema ana vitu vingi vya ziada kawazidi mastaa wenzie, ila akili hana, maisha hana