Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha
Kweli mana ukikosana na bibi wanakutukana yeye n mjukuu wke mybi hpo umechelewa lipa kodi yao utajuta,hvi ana watoto wangapi huyu maza n wko wapiii
Wanne wakike.wawili nje...wawili dar...aliyeolewa mmoja tu anayeishi dar..wengine mmh
CV ya baba inavutia,cv ya mtoto mmmh
Huyo w dar mbna hasikiki au yeye ana damu ya baba n kaolewa n nani
Hehe ss huko kaolewa na nani sijui..ila sio maarufu huyo mumewe..kakituliza analea wanae kwa raha zake
Huyo karithi kwa baba bora yke c huyu mpenda sifa za kijinga
Hivi angepata zali km la klyn kuzaa na kuishi na mzee machache. Au faraja kotta kuolewa na waziri ingekuajee sijui...angejituliza huenda nae angevuta muheshimiwa...pengine ht bakhresa lol....
Huyu mama ni chakubimbi.....Kajala kawakomesha.Wamekuwa kama machizi
Ndio unakuta mkwe hivi c ntatembea nae tu kwa tabia zke mana anaweza kukuambia mi najua mahaba kuliko mwanangu,akiona huelewi somo anakuvizia anakubaka chezea mnyaturu
Eti Kajala mshenzi na wazazi wake.....huyu mama mpuuzi.Kajala kama anajielewa arudishe hzo pesa.Tena kwa tarumbeta,upuuzi gani huo anafanya.
Kajala alishalipa zaidi y hiyo hela c alitoa mbunye yke kwahiyo walimalizana
Mbunye kampa CK yy anatakiwa amlipe Wema pesa.
Ila mimi mwenzenu nimeiona fursa, huyu mama anafaa kuwa spika ili akawadhibiti wale wanaotukana hovyo Mjengoni...ndio atawakomesha.....wakituma makombora, na yeye anatuma back...
Sipati picha siku Mheshimiwa fulani ametukana Mama atakavyoreact......wewe k....maako acha us..n.ge, kaa chini.
Utakuta ck ndio alimpa wema hizo hela pia cjui kma alikua deni kua atalipa,maza anauchungu sana n kajala mana utakuta alitegemea mengi toka kwa ck ungekuta nae ana harrier yke