Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Aisee yaan hapo kajijengea uaduii na hizo timu zao atashangaaa aisee sie yetu masikio mimi mama yangu hawez ongea hivyo hata siku mojaaa,na sijawah.msikiaa mtoto kama mama aisee kumbe hua tunamlaumu wema kumbe mama yake ndio hivyoo sasa hayo maswala ya shape kama ana miaka 12 ya ninii mtu mzima hivyoo,
Ndio maana nilisema Kajala kama ana akili amridishie zile milion zake atasimangwa mpaka basiii arudishe pesa wamalizanee
Eti kamuibia mume mume yupiii??? Mambo ya kipuuzi kabisaaa mbona ye alimuiba Sepetu kwan kajala wa kwanza kuiba hawara looo hii ni funga mwaka

Hivi umeona hapo kadiriki kusema wema aliibiwa mume...ck ni mume wa Wema toka lini????nilikua namchukia Wema kwa tabia zake lakin huyu mama kanitoka....sijawah sikia tusi kutoka kwa mama yangu mpaka umri huu nimeshangaa sanaaaa.,..
 
Halafu hao mapimbi waliokuwa wanashangilia ndo walimpa kichwa.Huyo mama na mwanae pipa na mfuniko.

Na hata bwana anaweza akashare nae....
 
Nimemshangaa sana huyu mama yaani nimeona aibu mpk basi.

Imagine ndo mamaako halafu anatoa mineno ya shombo km hiyo si aibu hii.
 
yaani hilo li mama limenitoka eti unaona shape yangu yaani nawasi wasi nae anafanya matangazo apate bwana. kajala dia.mlipe wema hizo hela asikukufanye mtumwa yaani mpaka anawatukuna wazazi wako. kama kweli upo na ck endelea nae nimekupa baraka zote.
 
Shepu ya kabati.....hana shape yoyote.We mata.ko marefu kama ndala za mkwele wa mizengwe.

Hahahaa eti ndala za m.kwere.Umeona eeee!!

Yaani ashukuru urefu unamsaidia angekuwa mfupi yule angekuwa kituko hatariii!!
 
Sijawahi kuingilia hili bifu lakini natamani niwe katika kamati ya maandalizi yakurudisha hzo pesa.

Aandae shughuli maalum yakurudisha hzo pesa hata kama haitakuwa sawa na kipindi kile.

Hahahahah. miss strong utanishtua wakati mnazirudisha hizo pesa na mim nije....kajala yupo kimya...sio kama hawez but atleast anaonyesha she is matured kdg....ila wema na ***** ni matikit maji
 
Last edited by a moderator:

Matured ni kweli na hata mimi mara ya kwanza nilikuwa si shaur hilo lakini nw nimegundua ipo sababu ya Kajala kurudisha hyo pesa.

Na asirudishe kimya kimya atupe taarifa....Wema ni wangapi umeshare nao bwana lakini mnaongea au kisa ulifulia??mwanaume umemuacha mwenyewe ukaenda kwa Diamond ulitaka CK akubembeleze wakat kifaa kajala yupo.

Lulu ulimualika na mlishare Kanumba,Jokate pia na mlishare Diamond iweje umvalie njuga kajala???

Kajala kama unajielewa lipa hyo pesa....ck endelea nae na hata bwana ake huyo Kijumoz akijileta tafuna pesa...mali ya umma haina mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa eti ndala za m.kwere.Umeona eeee!!

Yaani ashukuru urefu unamsaidia angekuwa mfupi yule angekuwa kituko hatariii!!

Wasilete uhuni....kuna watu wahuni zaidi yao ingawa uhuni si sifa nzuri.Mama unaongelea habari ya kuuguza mume mbele ya hadhara ili tukusaidie nini???

Wakati unatumbua nae mbona hukutangaza ili uje usaidiwe.Ndoa ni shida na raha sasa usifurahie mavuno tu na kupalilia pia ujue.Nyoooolo you
 
Hahahahah. miss strong utanishtua wakati mnazirudisha hizo pesa na mim nije....kajala yupo kimya...sio kama hawez but atleast anaonyesha she is matured kdg....ila wema na ***** ni matikit maji

Wema anajifanyaga kwao zipo wakat kuna shida tupu, mama yake mwenyew alikuwa anamtegemea ck maana ndomo mambo ya kuhonga ye hanaga, ndo atajiju mwanae mwenyew malaya
 
Last edited by a moderator:
Matured ni kweli na hata mimi mara ya kwanza nilikuwa si shaur hilo lakini nw nimegundua ipo sababu ya Kajala kurudisha hyo pesa.

Na asirudishe kimya kimya atupe taarifa....Wema ni wangapi umeshare nao bwana lakini mnaongea au kisa ulifulia??mwanaume umemuacha mwenyewe ukaenda kwa Diamond ulitaka CK akubembeleze wakat kifaa kajala yupo.

Lulu ulimualika na mlishare Kanumba,Jokate pia na mlishare Diamond iweje umvalie njuga kajala???

Kajala kama unajielewa lipa hyo pesa....ck endelea nae na hata bwana ake huyo Kijumoz akijileta tafuna pesa...mali ya umma haina mwenyewe.

Niliwaza hivi hiviiiiii,mi ningekua kajala ningehakikisha kila anapopitaaaa Wema nanyatiaaaa makusudiiii, ,kajala ana akiliii sanaa tutayasikiaaaa
 
Hahahahah. miss strong utanishtua wakati mnazirudisha hizo pesa na mim nije....kajala yupo kimya...sio kama hawez but atleast anaonyesha she is matured kdg....ila wema na ***** ni matikit maji

Namimi naunga tela hata nikiwa Us ntarusha mchangoo
 
Last edited by a moderator:
Hivi umeona hapo kadiriki kusema wema aliibiwa mume...ck ni mume wa Wema toka lini????nilikua namchukia Wema kwa tabia zake lakin huyu mama kanitoka....sijawah sikia tusi kutoka kwa mama yangu mpaka umri huu nimeshangaa sanaaaa.,..

Mama wema ni shangingi pale sinza meeda hakuna asiyemjua, yule mama ni mkorofi ana maneno machafu kama mwanae, sasa ya kajala ye yanamhusu nini mama mtu mzima kazi umalaya tu , kajala kashawapiga bao, naona mtu na mama yake wanagombania dudu moja kazi kweli, waache wsjiropokee wakosaji hao , aka wauza nyapu
 
yaani hilo li mama limenitoka eti unaona shape yangu yaani nawasi wasi nae anafanya matangazo apate bwana. kajala dia.mlipe wema hizo hela asikukufanye mtumwa yaani mpaka anawatukuna wazazi wako. kama kweli upo na ck endelea nae nimekupa baraka zote.

Hhhhaaaa eti unampa barakaaa y
 
Back
Top Bottom