Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hela alihongwa Wema na CK still ni ya kwake.Kajala amlipe
Kwani ilikua mkopo au alijitolea kumlipia hutuwezi jua walikua n makubaliano gani
Kero imezidi sanaaaaa......mtoto wa watu anashindwa kujamba kisa million 13.
Kero imezidi sanaaaaa......mtoto wa watu anashindwa kujamba kisa million 13.
Eti Kajala mshenzi na wazazi wake.....huyu mama mpuuzi.Kajala kama anajielewa arudishe hzo pesa.Tena kwa tarumbeta,upuuzi gani huo anafanya.
Ndioo arudishee yaan inaonyesha wamemchukiaa mbayaaa,,sasa hapo roho nzuri iko wapiii ya wema au alitafuta sifaa,pia kutaka awe anampelekeshaa kajala kwa analotakaaaa
We upo kama mimiii ningemrudishiaaa,si umesikiaa mtu anakaa kwako anakuibia mume mfyuuuuuu
Kajala uza gari moja rudisha hiyo hela la sivyo utasimangwaaaa ndio maana hua wanasema binaadamu hana msaada wa kutoa bila kinyongo
Kajala hapo mtoto watu atajinyamazia kimyaaa
Hiyo 13m ina siri yke ungekuta wema ameshadai tena mpka police ila kuna siri ndio mana hadai kakaa kimya tu,akidai kuna mengi yanaweza fichuka tena unaweza kuja hela haikua hata y ck.
Kuna mtu atakua alimpa wema hyo hela atoe then bibae nae kwa kutafuta kiki akaonekana n yeye katoa
Wema hana nguvu ya kuidai ile pesa coz inajulikana alilipa faini yakumtolea Kajala.Ila tu imekuwa kero na mwiba mkali kwa Kajala.
Kajala ana pesa hana sababu yakuuza gari...arudishe hzo pesa.Million 13 kitu gani.Yaani mama wema ana thubutu kumtukana mzazi wa Kajala kisa tu watoto wamekorofishana tena kwa mambo ya kipuuzi??
Nmesikitishwa sana na akili ya huyu mama....hakuna asiye na matusi bali kuheshimiana.Mama shenzi sana huyu
Yaan ni mateso bila chukiii,unajua alitaka amgeuze mbeba pochiii afanye anavyotakaa sasa wapi na wapii mimi kua bendera fata upepo noooo
Hivi wema ana shape gani na uzur upi wakumshinda kajala.Wema avae nguo ya mariedo mwenzie avae gunia lakin atachaguliwa mwenye gunia.
Kajala mzuriiii hilo haliihitaji degree ujueee
Basi atulize kipwapwiso.....
Na nnya yake ,ulisikia pale kwenye umbo wema et kama memeeeee
Hahahaaa kama hujui sema tu hujui.
Sidhani kama huyo binti ana shahada na niko radhi kuweka paycheck yangu kwenye hilo.
Nasikitika sana ninapoona watu wazima wanashindwa kuisaidia jamii kubadilika . Unajua hapakua na haja ya kumponda yeyote akiwa kama mzazi . Zipo njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa hekima na wahusika wakajisikia vibaya na tena wala si njema kuendeleza magomvi . Angewaelekeza namna nzuri ya kuishi na watu na ikiwezekana angewakanya kuingiza wazazi ktk mambo yao ya kipuuzi kama alivyotumia mfano wa mumewe ilikua nzuri kiasi.
Umri hakuutaja kwa bahati mbaya kwani ukiangalia vizuri utaona kabisa alikua anajinadi na hiyo ndo iliyonifanya nicheke nahisi huyu mama hajaona wamama wenye maumbo mazuri aisee.
Kajala mzuriiii hilo haliihitaji degree ujueee