Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Nimeamini kwamba tabia ya mtu inauhusiano wa moja kwa moja na malazi ya mtu husika. Mama Wema hana busara na naamini maadili yake yanajielezea kwa tabia ya mwanaye. Nimeshindwa kuiangalia video yote.

Usimalize kuongea maneno yote as long as unazaa...watoto hawafanani tabia hata uwalee vipi.
Kwani kamzaa Wema peke yake? Mbona hatuwasiki dada zake wengine?

Haya makoroma kwenye familia yapo...pia amini hakuna mzazi yoyote duniani anayeweza kuadmit mwanae ana tabia mbaya...hakunaaa.
Mtoto kwa mbaya ni mzuri kwa mzazi wake...

Msimuhukumu hivyo mama wa watu kama vile familia zetu zimejaa watoto wema tupu, muacheni, ule ndo mtihani wake wa malezi, muacheni ahangaike nao....
 
geniveros

Kwa kifupi sijaona tusi la kumsimamisha mtu misuli ya shingo...lile neno ni kiunganishi tu cha sentensi....heheheeee....!

Chezea kukandwa maji ya motooo. Hata kama Kibaya ndo chako mwayego...
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi sijaona tusi la kumsimamisha mtu misuli ya shingo...lile neno ni kiunganishi tu cha sentensi....heheheeee....!

Chezea kukandwa maji ya motooo. Hata kama Kibaya ndo chako mwayego...

tena kwa kukandwa huko
alipaswa awe na staha kwa wengine yanaweza yasiwe matusi ila kwa wazazi wanaojielewa wanaojiheshimu kwa watoto kutamka neno mshenzi wee ni tusi kubwa sana ila kwa wazazi wa sio na maadili hzo ndio salam
 
wooord
 
Am proud with my age kwakweli

Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
 
Huyo mama yake Wolper alitengenezewa picha ya uchi kama yule...Wolper na wengine wanatukanwa wao kama wao...huyu iweje atukaniwe mzazi.
Halafu me sijaona hata tusi moja hapo...kaongea maneno ya kistaarabu sanaaaa....

Ndo kashawaambia...kama kawaida anayejisikia kutapika ndimu zipo gengeni sh 100 tu....Kariakoo fungu mia tano....

Tutapike nini sasa? Kama kutapika tungetapika kipindi kile wema anamiliki magar ya kifahar matatu na nyumba ya mil 400, sasa ivi magar yako wapi? Nyumba iko wapi? Ebu acheni kumjaza ujinga, mwambieni role model wenu afanye kazi anunue gar lake mwenyew, clement alimhongs magar matatu, sasa ivi yako wapi? Cha mtu mavi

Kama kuharisha na kutapika tungetapika kipindi kile cha nyumba ya mil 400 ya bandia, halina hata aibu kujishaua na nyumba za watu, eti my house, nyokooo baba ako anayo kama ile au unajua kushoboka na vya watu, na bado tunasubir apa ilo bmw tuone mwisho wake
 
kama mama hakupaswa kutukana hadharani tena mbele ya mwanae........ mama ni m2 wa kuheshimika sana na mojawapo ya sifa ni uvumilivu..... akipotezea nani atamfuata fuata? vita na watoto wa .com ataiweza? kama sio kudhalilishwa kwa mara nyingine? yawezekana usichana wake hakuwa tofauti sana na mwanae coz tabia inaanza kama mzizi......amenihudhunisha kwakweli
 
maneno aliyoongea hayo mama ni ya busara mno , hakuna tusi hapo tena angepelekwa bunge la katiba angesaidia sana kutetea haki za wanawake, yeye na mwanaye wema ni tunu za taifa kabisa
ila nasikitika pressure aliyopewa wema mpaka umri wake umepanda ghafla kutoka 22 hadi 26...very bad..Iam dejected
 
wajojo

Haa kumbe tunaongea lugha tofauti....Kumbe we unazungumzia hayo ms BMW na nyumba ya mil 400....
Sijawahi kukubaliana na mashauzi ya Wema, na Wema hawezi kuwa role model wangu hata siku moja...labda me ndo niwe role model wake.

Nachokizungumzia ni kwambs haifai kumdhalilisha mzazi kwa mapungufu ya mtoto...una uhakika gani hakumpa malezi stahili. Jamii pia ina nafasi kubwa ya kumuharibu mtoto, mtoto anatoka, anaenda shule, anakutana na watu wenye tabia tofauti ambazo zinaweza kuleta athari katika tabia yake pia...

Msimuhukumu huyu mama...Kuna wazazu kibao ambao wameshindwa kwa watoto zao...na bado wanawatetea....

Narudia tena, sijaona tusi la kumgeuza huyu mama topic....nadhani angekuwa mama yako amedhalilishwa kwa picha ya uchi vile basi yangekutoka mazito zaidi ya yale...sembuse mwenyewe aliyedhalilishwa...

Halafu tatizo lenu kila mtu mnamuona team ma.vi kama nyie....Sorry am not of that type....
 
Last edited by a moderator:
maneno aliyoongea hayo mama ni ya busara mno , hakuna tusi hapo tena angepelekwa bunge la katiba angesaidia sana kutetea haki za wanawake, yeye na mwanaye wema ni tunu za taifa kabisa
ila nasikitika pressure aliyopewa wema mpaka umri wake umepanda ghafla kutoka 22 hadi 26...very bad..Iam dejected

Hahahaaaa...Maatope in da houseeeeee......
 
maneno aliyoongea hayo mama ni ya busara mno , hakuna tusi hapo tena angepelekwa bunge la katiba angesaidia sana kutetea haki za wanawake, yeye na mwanaye wema ni tunu za taifa kabisa
ila nasikitika pressure aliyopewa wema mpaka umri wake umepanda ghafla kutoka 22 hadi 26...very bad..Iam dejected

Sir Maatope from Tandale. Heshima yako mkuu.
 
Huyo mama yake Wolper alitengenezewa picha ya uchi kama yule...Wolper na wengine wanatukanwa wao kama wao...huyu iweje atukaniwe mzazi.
Halafu me sijaona hata tusi moja hapo...kaongea maneno ya kistaarabu sanaaaa....

Ndo kashawaambia...kama kawaida anayejisikia kutapika ndimu zipo gengeni sh 100 tu....Kariakoo fungu mia tano....

Haa wewe umeangalia hiyi video kweli? Hujasikia huo mtusi mzito hivyo mpaka naogopa kuuandika hapa!
 
Watakatifu wa kwenye key board nishawazoea...in real life ukute mna midomo michafu kuliko huyo mama...tena ukute hilo mnalojidai tusi zito ndo kiunganishi chenu cha sentensi.
Humu kila mtu mtakatifu....

Ndo nishasema hivyo...ovaa.
 
Back
Top Bottom