Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Nimeamini kwamba tabia ya mtu inauhusiano wa moja kwa moja na malazi ya mtu husika. Mama Wema hana busara na naamini maadili yake yanajielezea kwa tabia ya mwanaye. Nimeshindwa kuiangalia video yote.
Usimalize kuongea maneno yote as long as unazaa...watoto hawafanani tabia hata uwalee vipi.
Kwani kamzaa Wema peke yake? Mbona hatuwasiki dada zake wengine?
Haya makoroma kwenye familia yapo...pia amini hakuna mzazi yoyote duniani anayeweza kuadmit mwanae ana tabia mbaya...hakunaaa.
Mtoto kwa mbaya ni mzuri kwa mzazi wake...
Msimuhukumu hivyo mama wa watu kama vile familia zetu zimejaa watoto wema tupu, muacheni, ule ndo mtihani wake wa malezi, muacheni ahangaike nao....