Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hhhhhaaaaaaaaaaaa weeeeee unapenda raha weee
Wewe acha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhaaaaaaaaaaaa weeeeee unapenda raha weee
Raha balaaa leo kina nsalu wako wapiii
mimi je nacheka hapa hatariiii....jamani sikuhizi hakuna kununa wala kujibizana.mtu akikukasirisha tu mbio jamii forum.jamii forum stress freeeeeee.wapi miss strong
Raha balaaa leo kina nsalu wako wapiii
Wamejificha....wanasoma kimyakimya natamani mmoja ajilipue!!!!
Sasa siku madame akiachwa si watabadilisha ID?????
Hawapo leo wako likizo
Uwiiiiii mbavu zangu jamani!!!!
Polee shosti zitapoa tu na wale wafua Pichu wa wema mbona siwaoni Kuna kumtetea bosi wao?
Nipo hapa koku.....tangu lini kaniki ikawekwa jiki???Wema ni kaniki bwana hafai hata kuwa vazi la taifa
Wamejificha....wanasoma kimyakimya natamani mmoja ajilipue!!!!
Sasa siku madame akiachwa si watabadilisha ID?????
Sema wafua chupi unaogopa nini.
Kuna mmoja kule Insta anajiita malkia wa insta yule nahisi atakuwa anamuogesha wema kwa ulimi anajitoaga muhanga kuwatukana watu wanaomdis wema.
Hadi huwa namuonea huruma anavyomwaga povu.
Sema wafua chupi unaogopa nini.
Id yenyewe fake halafu niogope nini?Haya wafua chupi wa wemaaa come over here.
Aje huku ashushuliwe na leo wikiend mbona ataomba poo .
Unapenda kuona ligiii khaaa
Nipo hapa koku.....tangu lini kaniki ikawekwa jiki???Wema ni kaniki bwana hafai hata kuwa vazi la taifa