Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wamejificha....wanasoma kimyakimya natamani mmoja ajilipue!!!!
Sasa siku madame akiachwa si watabadilisha ID?????

Kuna mmoja kule Insta anajiita malkia wa insta yule nahisi atakuwa anamuogesha wema kwa ulimi anajitoaga muhanga kuwatukana watu wanaomdis wema.

Hadi huwa namuonea huruma anavyomwaga povu.
 
Aje huku apate shughuli....mtu unamtetea wema.Mama yao si kawaambia wamalize,sasa tutawamaliza wao.
 
Back
Top Bottom