It seems to me the image has been photoshoped 😂Aise huyu hajui huduma ya waxing
Hahaha aise itakuwa hivyoIt seems to me the image has been photoshoped [emoji23]
Kichwa cha Habari ulivyokiweka ni kama vile Wema ndo kasema hayo manenoMiongoni mwa mastaa wa kike ambao wasipojiangalia watakuwa na mwisho mbaya basi huyu mwanadada Wema Isaac Sepetu anaongoza.
Kiukweli Wema inabidi afanye juu chini atafute wataalamu wa jadi wamsafishie nyota yake maana anazidi kufuja kila kukicha .
Wema kwa muda mrefu amekuwa mtu mwenye mikosi kila atakalolifanya lazima liharibike, mfano kampuni yake ya endless fame imekufa kifo cha mende, vipodozi vyake,app yake na mambo mengi mno yamemdodea .
Tukiachilia mbali suala la biashara, Wema amejaa mikosi mpaka mwilini mwake kuna uwezekano mkubwa hata suala la kizazi amefungwa kimazingara japo yeye anahisi na kukiri tabia yake ya kutoa mimba usichanani mwake ndio chanzo lakini hapana atazame kwa wataalamu huenda kuna jambo limejificha nyuma ya pazia.
Tukija upande wa muonekano Wema amekongoroka mno mpaka inakuwa vigumu kupewa baadhi ya dili kutokana na mwili wake kutokuwa na mvuto tena maana amekuwa kimbau mbau ambaye haeleweki nyuma wapi mbele wapi ukija kwenye sura ndio kabisa uzee unamkaribia.
Kwa hiyo ushauri wa bure aende kwa wataalamu wamchekie nyota yake au kama anaona aibu awaite hata masheikh wamfanyie kisomo angalau cha siku saba mfululizo au siku tatu kikiambatana na swadaka kwa watoto yatima na maskini huenda mambo yake yatakaa sawa kwa idhini ya Allah.
Nafharia hiziWanafalsafa wananena. "Ole wake mtu yule amtegemeaye mwanadamu kama kinga yake, mbinguni amelaaniwa"
Ni makosa kifalsafa kwenda kwa binadamu kumuomba akuombee kwa Mungu.
Ni wajibu wetu wenyewe kuzungumuza na Mungu wetu baada ya kuungama dhambi zetu.
Unaweza kushiriki na mwenzako katika maombi kwa Mungu na si wewe kujifanya ni katibu muhutasi wa Mungu ambaye hurusu watu kumwona au kutomwona, kuingia au kutokuingia ndani .
Watu wengi wamegeuza Dini kama biashara kwa kujifanya wanawaombea watu.
Watu wengi wanamtumia shetani kuwaangamiza watu wasio na Imani kwa Mungu.
Mtu aliyekubalika kwa Mungu halogeki kwa sababu shetani anamwogopa Mungu.
Kwani huyo Paw ndio shemeji yetu kwa bibie Sepenga?Nakukumbusha tu PAW bado ni mod
Kwa hiyo hata kwenda hospitali napo dhambi? Kwa hiyo kuwategemea maaskari na wanajeshi kama walinzi wetu ni dhambi?Wanafalsafa wananena. "Ole wake mtu yule amtegemeaye mwanadamu kama kinga yake, mbinguni amelaaniwa"
Ni makosa kifalsafa kwenda kwa binadamu kumuomba akuombee kwa Mungu.
Ni wajibu wetu wenyewe kuzungumuza na Mungu wetu baada ya kuungama dhambi zetu.
Unaweza kushiriki na mwenzako katika maombi kwa Mungu na si wewe kujifanya ni katibu muhutasi wa Mungu ambaye hurusu watu kumwona au kutomwona, kuingia au kutokuingia ndani .
Watu wengi wamegeuza Dini kama biashara kwa kujifanya wanawaombea watu.
Watu wengi wanamtumia shetani kuwaangamiza watu wasio na Imani kwa Mungu.
Mtu aliyekubalika kwa Mungu halogeki kwa sababu shetani anamwogopa Mungu.
Sio mama ni mwanamke tu.Kwenye movie ya a point of no return huyu mama alikuaga mzuri jamani dah
Kweli jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi
Huyo shekhe Sharifu majini inasemekana tapeli.Aende kwa shekhe shariff majiiiiin