abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,163
Alisha uharibu usichana wake,alishaharibu status yake,Alisha haribu moyo wake, alishaharibu akili yake,Alisha haribu mwili wake,Alisha haribu mfumo wote wa maisha yake
Hana wa kumlaumu zaidi ya mama yake na yeye mwenyewe pekeee.leo angekuwa na maisha mazuri Sana lakin anahangaika kama vile hakuwa miss tz na jina kubwa mjini.
Kudanga Sana hakukufanyi kuwa na pesa nying Bali huondoa thamani ya tunu aliokupa Mungu.hili Ni funzo kwa wadada wengne wanajifanya wao Ni icon sehemu Fulani.