Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Wapi,hiyo picha ni ya mwanamziki Ariana Grande,kama angekuwa anauzuri kiasi hicho si angelinga sana eboooooh.Daah kama Kweli avatar yako ndo wewe, basi wewe binti ni mzuri wa sura japo umbo silijui, na Kwa comment yako hii naongezea hata kichwani upo vizur, natumia nafas hii pia kusema aliyekuoa namuonea wivu....samahan lakn kama nimekukwaza mama
Afadhali alivyopungua,kwa kiasi fulani mapenzi ndo yaliyokuwa yanamrudisha nyuma,aliniuzigi alivyorudianaga na mwakitombile afu akasahau kabisa kufanya kazi,na hiyo ndo ikawa down fall yake mpaka leo hajaweza kurudisha ile status yake ya Madam
Ujue uwaga nakuchora tu,unapenda kuchangia hata mada ambazo azikuhusu,alaaah nani alikwambia umalaya ni dhambi?
Imeandikwa wapi kuwa mwanaume kuchepuka ni sawa na mwanamke kuchepuka siyo sawa?Umeelewa maana ya mjadala?,independent anamaanisha kwa wanaume ndo sawa,but kwa wanaume wake ni kosa sawa eboooooh.
Sio kinyaa,sema wewe ni domo zege eboooooh.
Sasa kati ya mimi na wewe nani kashupalia comments za mwenzie hapa? Acha shobo basi!Wewe kalale uache kushupalia comments za watu sawa
Wapi,hiyo picha ni ya mwanamziki Ariana Grande,kama angekuwa anauzuri kiasi hicho si angelinga sana eboooooh.
Baby mpotezeeAcha kukurupuka kucomment wewe unadhani huu uzi ni wa leo? Una uhakika gani kuwa wakati ananiambia hivyo nilikuwa nimeweka hii picha ya Ariana Grande? Au ndiyo unaishi kwa kukariri tu? Ficha ushamba wako!
Uzuri gan unaozungumzia kawa ka guruwe Fulani ivIla nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , wema is Beautiful, wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye exposure na Maisha flan hivi yalee, ni mtu ambaye unaweza kumuweka na jamii ya watu wowote wale na aka fit, wasomi , akina kajamba Nani , yani she has that vibe and energy ambayo kusema kweli mastaa wengi hawana.
Mind you , wema Alisoma shule nzuri , so hata ongea yake , how she handle herself , you can see ako na confidence, she is just wema sepetu yani , no one ambaye atakuja mreplace this beauty brain , ni vile tu ako na ujinga flan hivi , kama akipata mtu au watu wakum boost , trust me you this bitch angekua mbali sana
Tumeona ujio wa kina hamisa, lyn and so so, ila hakuna kama wema
Tumuombee tu arudi kwenye level anayostahili
bhanaView attachment 1163419
Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , wema is Beautiful, wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye exposure na Maisha flan hivi yalee, ni mtu ambaye unaweza kumuweka na jamii ya watu wowote wale na aka fit, wasomi , akina kajamba Nani , yani she has that vibe and energy ambayo kusema kweli mastaa wengi hawana.
Mind you , wema Alisoma shule nzuri , so hata ongea yake , how she handle herself , you can see ako na confidence, she is just wema sepetu yani , no one ambaye atakuja mreplace this beauty brain , ni vile tu ako na ujinga flan hivi , kama akipata mtu au watu wakum boost , trust me you this bitch angekua mbali sana
Tumeona ujio wa kina hamisa, lyn and so so, ila hakuna kama wema
Tumuombee tu arudi kwenye level anayostahili
bhanaView attachment 1163419
Numbisa wewe ni malaya
Shenzi type unajua maana ya mama usiwe unalopoka tuuu kama kopo ebooooooohKama mama yako.
Shenzi type unajua maana ya mama usiwe unalopoka tuuu kama kopo eboooooooh
Acha matusi jiheshimuKama Mama yako
Acha matusi jiheshimu
Acha matusi jiheshimu