Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , wema is Beautiful, wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye exposure na Maisha flan hivi yalee, ni mtu ambaye unaweza kumuweka na jamii ya watu wowote wale na aka fit, wasomi , akina kajamba Nani , yani she has that vibe and energy ambayo kusema kweli mastaa wengi hawana.
Mind you , wema Alisoma shule nzuri , so hata ongea yake , how she handle herself , you can see ako na confidence, she is just wema sepetu yani , no one ambaye atakuja mreplace this beauty brain , ni vile tu ako na ujinga flan hivi , kama akipata mtu au watu wakum boost , trust me you this bitch angekua mbali sana
Tumeona ujio wa kina hamisa, lyn and so so, ila hakuna kama wema
Tumuombee tu arudi kwenye level anayostahili
bhana
View attachment 1163419