Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Mimi nakujua unajifanyaga wonder women,but for nothing. Ko unaona yuko sahihi?Khaa yaani wewe kuita wenzio malaya siyo matusi ila wewe mama yako kuitwa malaya ndiyo matusi? Ukiamua kuingia vitani usimchagulie adui silaha!