Hata Kama mkuu..but not in that manner...huo ndo typical uswahili..as a public figure anatakiwa ajue kucontrol her temper...anyway sijui Kama ushauri wako atausikia manake hata manager wake aliwai sema demu hashaurikiWewe House girl wako HUMGOMBEZIIII? Akuibie I phone 6, hutosema chcochote? Global wakuandike uongo, wapige hela wewe unyamazeee tu? UTAKUWA BOYAAAAAAAAA. Alienda ku express her disapointments basi wakaombana radhi maisha yanaendelea!
kUFANYA MFANYE NYIE AKIFANYA WEMA ISHU.
Haya basi mfano wa kuigwa Bibi Omukwanooo kujirekodi na kidubwanaaaa, na kutafuta dogo dogo kumzalia. HAHAHAAAAAAA!
Nauliza tu, sitegemei kushambuliwa, katika darsa lake la kufundwa alifundishwa na kutoa mimba?ZAA WEWE USIJALI MAADILI. Mwenzio kafundwaaa and she has CLASS. We zaa tu maana ukoo wenu umezoea.
HahahahahHa kisa kwako kunaungua basi unaconcludi na kwangu kunateketea hahahah,basi tuassume ni kweli mana hamna namna na hzi assumption
Ndo mimi NAMFUNZA sasa, kunwi nilieshindikana Dar, mpaka Zenji. WAKE ZA WATU WANATOA ZA NDOANI ITAKUWA YEYE? Hujashambuliwa si eti? hahahaaaaa!Nauliza tu, sitegemei kushambuliwa, katika darsa lake la kufundwa alifundishwa na kutoa mimba?
Abortion doesnot make one younger!
Naona siku hizi kutoa mimba ni sifa kama kupata mafanikio fulani ya kiroho.Umesahau wakati unamlamba ile damu yake iliyokua imeoza kwasababu ya kutoa mimba mara hii??!Kweli kumbukumbu hamna!!
Yeye mwenyewe ndio alitangaza kwamba alitoa mimba ya kanumba sasa sijui povu linalokutoka la nini!!may be unataka league
Hata Kama mkuu..but not in that manner...huo ndo typical uswahili..as a public figure anatakiwa ajue kucontrol her temper...anyway sijui Kama ushauri wako atausikia manake hata manager wake aliwai sema demu hashauriki
Aliwahi kupata mimba ya dai.kamuulize mwenzio yule ilikuwaje!!halafu mukiwa waongo muwe na kumbukumbu!mara hii mmesahau kama sepenga mwenyewe alisema kwamba ameshatoa mimba ya kanumba?makubwaa
Kipindi kilikua cha Jahazi.Mara kibao tu kishasema alitoa mimba ya kanumba na sababu ya kutoa alisema alikua mdogo lol hiyo mimba ya kumuingia mtoto mdogo ni kiboko
Hahahahha Tarehe wapiiii nakuchuuza tu,panaunguaaa hukuu km huko kunateketea lolTaja tarehe basi shosti tuweke kwenye DIARY kama ipo. HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Kwangu kushateketea sio jana wala juzi. Hahahaaaa
Naona siku hizi kutoa mimba ni sifa kama kupata mafanikio fulani ya kiroho.
Wem ameisaka sana mimba, sidhani kama anaweza kufuata ushauri kama huu.
Freeland umeumbuka, leo Wema anatulambisha ndimu za ujauzito.
IKIWA BEYONCE, MADONNA, ANGELINA JOLLIE NA KIM K WAMEZAA NA BADO HAWAJAPOTEA KWENYE RAMANI YA UCELEB, KWANINI WEMA AKIZAA APOTEE?
KWANZA KABLA YA KUZAA TU KESHAJIZEEKEA
Nafikiri mada ni Wema na wala sio members wa humu.Hio nayo kasorooo, WEMA HAJAZOEA KUFUGA MABWANA KAMA WATU FUDENGE HUMU. HAHAHAAAAAAAAA!
Kama wanatoa nadhani huwa wanajutia .sio jambo la kusifuWANGAPI MIMBA WANATOA??????? WAKE ZA WATU WENYEWE MABINGWA WAKUCHOROPOA ZA WAUME ZAO COZ UCHUMI HAUJAKAA VIZURI. Itakuwa Wemaaaa? Na kama anayo ingine AKATOE HARAKAAAA.
Na hyo ni moja aliyotamka wazi, je alizozificha ni ngap? Msichana gan huna hata aibu unajitangaza umetoa mimba? Shame on herNa amewahi kukiri mara kibao kuwa anatamani sana kuzaa ila inashindikana.. Amewahi kutamka kuwa labda ni laana kutokana na kutoa mimba ya kanumba!!! Sasa huyu anayemshauri mwenzie asizae nahisi hajui anachoongea..
Mhhh lara wewe mbna kama umehamia mlengo wa kushoto,not ur stylee at alllll hahahahJAMANIII NAOMBA KUHITIMISHAAA USHAURI HUO MUUFANYIE KAZI. KAMA HUJAZAA USIDHUBUTUUUU KUDANGANYIKA UTESEKE NA ZIGO PEKE YAKO, MWANA MWENYEWE HARAMU MPAKA VITABU VIMEMKATAA UNADHANI MZIGO WAKE UTAKUWA MWEPESI?HAHAHAAAAAAA! TUMUOMBE MUNGU ATATUWEZESHA TU TUISHI ATAKAVYO.
KAMA UMEZAA, MTOTO WAKO SI HARAMU WALA NINI, NI MTOTO MZURII NA MAMA YAKE UNAMPENDA, HAIJALISHI VITABU VINASEMA NINI WALA NINI. OBAMA MWENYEWE ALIZALIWA HIVO HIVO, HII CHANGAMSHA GENGE TU WALA USIKOSE RAHA, SI MNAJUA TENA MIMI KWENYE LIGI ZA UBISHI SINA BREAK. THE POWER OF FORGIVENESS AND NEW BEGINNINGS, MTOTO NI BARAKA TOKA KWA MUNGU NDO MAANA MIMI NA WEMA HATUNA! Hahahahaaaaaaaaa!
OTHERWISE HAYA MANENO TU YA MTANDAONI MTU ASIKO RAHA, HATA ZARII SHE IS LUCKY TO FIND LOVE AGAIN AT THAT AGE, HAHAHAAA! HATA MKE WA PETER WA P SQUARE KAMZIDI PETER 8 YRS AND THEY HAPPY, WAMEONA WANA WATOTO WAO. LOVE UNLIKE LARA 1, HAIBAGUI UMRI, WALA UMEZAA WATOTO WANGAPI, SO SHE WILL BE OKAY IF IT LASTS MANA KAKA YETU NAE IS BRUTAL, SERIAL CHEATER, AFU ANA CONTROLIWA NA NDUGUZE.
NIWATAKIE GOOD NIGHT. Yaishe humu humu msilale navyoooo!
HAPO NDO MNAPOKOSEA, KUONA NI SAWA KUMJADILI WEMAAA BILA KUJIJADILI SISI. Haiwezekani kumtenganisha mtu na ushauri wake.Nafikiri mada ni Wema na wala sio members wa humu.
Tuondoe personal attacks tuchambue ushauri huu wa kifo cha kiumbe wa Wema a.k.a mdogo wa Swiss.
Wema mjamzito.WALIZAA NA MIAKA MINGAPI? Hao wote wamzee above 30S HUKO NA WOTE WAMEZAA BAADA YA KUOLEWA. Mbona unataka kumponza Wema lakini?
Wema anawachezesha kwata tu, kaona hii post anawatia ndimu mtu ili mchachuke sanaa hususai bibi yenu.
Mhhh lara wewe mbna kama umehamia mlengo wa kushoto,not ur stylee at alllll hahahah