Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema is beyond ushauri,roll call ya wanaume Wema is second to none-Wema is at most a spoilt bitch-who at the blink of the eye anatukanana na mama yake let alone the Zari,s of this world-nasikia hawezi kuzaa otherwise angekuwa na timu ya watoto fathered by various daddies. Baada ya kumsikia Mama yake akitukana-they seem to be alike in all aspects-nawahurumia sana ndugu zake na hii unnecessary negative limelight
 
Wewe House girl wako HUMGOMBEZIIII? Akuibie I phone 6, hutosema chcochote? Global wakuandike uongo, wapige hela wewe unyamazeee tu? UTAKUWA BOYAAAAAAAAA. Alienda ku express her disapointments basi wakaombana radhi maisha yanaendelea!

kUFANYA MFANYE NYIE AKIFANYA WEMA ISHU.

Haya basi mfano wa kuigwa Bibi Omukwanooo kujirekodi na kidubwanaaaa, na kutafuta dogo dogo kumzalia. HAHAHAAAAAAA!
Hata Kama mkuu..but not in that manner...huo ndo typical uswahili..as a public figure anatakiwa ajue kucontrol her temper...anyway sijui Kama ushauri wako atausikia manake hata manager wake aliwai sema demu hashauriki
 
HahahahahHa kisa kwako kunaungua basi unaconcludi na kwangu kunateketea hahahah,basi tuassume ni kweli mana hamna namna na hzi assumption

Taja tarehe basi shosti tuweke kwenye DIARY kama ipo. HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Kwangu kushateketea sio jana wala juzi. Hahahaaaa
 
Nauliza tu, sitegemei kushambuliwa, katika darsa lake la kufundwa alifundishwa na kutoa mimba?
Abortion doesnot make one younger!
Ndo mimi NAMFUNZA sasa, kunwi nilieshindikana Dar, mpaka Zenji. WAKE ZA WATU WANATOA ZA NDOANI ITAKUWA YEYE? Hujashambuliwa si eti? hahahaaaaa!
 
Umesahau wakati unamlamba ile damu yake iliyokua imeoza kwasababu ya kutoa mimba mara hii??!Kweli kumbukumbu hamna!!

Yeye mwenyewe ndio alitangaza kwamba alitoa mimba ya kanumba sasa sijui povu linalokutoka la nini!!may be unataka league
Naona siku hizi kutoa mimba ni sifa kama kupata mafanikio fulani ya kiroho.
Wem ameisaka sana mimba, sidhani kama anaweza kufuata ushauri kama huu.
Freeland umeumbuka, leo Wema anatulambisha ndimu za ujauzito.
IKIWA BEYONCE, MADONNA, ANGELINA JOLLIE NA KIM K WAMEZAA NA BADO HAWAJAPOTEA KWENYE RAMANI YA UCELEB, KWANINI WEMA AKIZAA APOTEE?
KWANZA KABLA YA KUZAA TU KESHAJIZEEKEA
 
Hata Kama mkuu..but not in that manner...huo ndo typical uswahili..as a public figure anatakiwa ajue kucontrol her temper...anyway sijui Kama ushauri wako atausikia manake hata manager wake aliwai sema demu hashauriki

Bai ufanye Wema is guilty of excessive disciplining. Hahahaaaa! Ushauri wangu huu kiboko, manake WA KIHUNI HUNI ndo unaomfaaa. Utaona. SET A THIEF TO CATCH A THIEF.
 
Taja tarehe basi shosti tuweke kwenye DIARY kama ipo. HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Kwangu kushateketea sio jana wala juzi. Hahahaaaa
Hahahahha Tarehe wapiiii nakuchuuza tu,panaunguaaa hukuu km huko kunateketea lol
 
Naona siku hizi kutoa mimba ni sifa kama kupata mafanikio fulani ya kiroho.
Wem ameisaka sana mimba, sidhani kama anaweza kufuata ushauri kama huu.
Freeland umeumbuka, leo Wema anatulambisha ndimu za ujauzito.
IKIWA BEYONCE, MADONNA, ANGELINA JOLLIE NA KIM K WAMEZAA NA BADO HAWAJAPOTEA KWENYE RAMANI YA UCELEB, KWANINI WEMA AKIZAA APOTEE?
KWANZA KABLA YA KUZAA TU KESHAJIZEEKEA

WALIZAA NA MIAKA MINGAPI? Hao wote wamzee above 30S HUKO NA WOTE WAMEZAA BAADA YA KUOLEWA. Mbona unataka kumponza Wema lakini?

Wema anawachezesha kwata tu, kaona hii post anawatia ndimu mtu ili mchachuke sanaa hususai bibi yenu.
 
Hahahahha Tarehe wapiiii nakuchuuza tu,panaunguaaa hukuu km huko kunateketea lol
HAHAHAHAAAAAAAAAAAA! Kiukweli hii taarifa nilitegema itanifurahisha ila imenisikitisha. Nakuombea heri lakini mwaka hu haushi.
 
WANGAPI MIMBA WANATOA??????? WAKE ZA WATU WENYEWE MABINGWA WAKUCHOROPOA ZA WAUME ZAO COZ UCHUMI HAUJAKAA VIZURI. Itakuwa Wemaaaa? Na kama anayo ingine AKATOE HARAKAAAA.
Kama wanatoa nadhani huwa wanajutia .sio jambo la kusifu
 
Na amewahi kukiri mara kibao kuwa anatamani sana kuzaa ila inashindikana.. Amewahi kutamka kuwa labda ni laana kutokana na kutoa mimba ya kanumba!!! Sasa huyu anayemshauri mwenzie asizae nahisi hajui anachoongea..
Na hyo ni moja aliyotamka wazi, je alizozificha ni ngap? Msichana gan huna hata aibu unajitangaza umetoa mimba? Shame on her
 
JAMANIII NAOMBA KUHITIMISHAAA USHAURI HUO MUUFANYIE KAZI. KAMA HUJAZAA USIDHUBUTUUUU KUDANGANYIKA UTESEKE NA ZIGO PEKE YAKO, MWANA MWENYEWE HARAMU MPAKA VITABU VIMEMKATAA UNADHANI MZIGO WAKE UTAKUWA MWEPESI?HAHAHAAAAAAA! TUMUOMBE MUNGU ATATUWEZESHA TU TUISHI ATAKAVYO.

KAMA UMEZAA, MTOTO WAKO SI HARAMU WALA NINI, NI MTOTO MZURII NA MAMA YAKE UNAMPENDA, HAIJALISHI VITABU VINASEMA NINI WALA NINI. OBAMA MWENYEWE ALIZALIWA HIVO HIVO, HII CHANGAMSHA GENGE TU WALA USIKOSE RAHA, SI MNAJUA TENA MIMI KWENYE LIGI ZA UBISHI SINA BREAK. THE POWER OF FORGIVENESS AND NEW BEGINNINGS, MTOTO NI BARAKA TOKA KWA MUNGU NDO MAANA MIMI NA WEMA HATUNA! Hahahahaaaaaaaaa!

OTHERWISE HAYA MANENO TU YA MTANDAONI MTU ASIKO RAHA, HATA ZARII SHE IS LUCKY TO FIND LOVE AGAIN AT THAT AGE, HAHAHAAA! HATA MKE WA PETER WA P SQUARE KAMZIDI PETER 8 YRS AND THEY HAPPY, WAMEONA WANA WATOTO WAO. LOVE UNLIKE LARA 1, HAIBAGUI UMRI, WALA UMEZAA WATOTO WANGAPI, SO SHE WILL BE OKAY IF IT LASTS MANA KAKA YETU NAE IS BRUTAL, SERIAL CHEATER, AFU ANA CONTROLIWA NA NDUGUZE.

NIWATAKIE GOOD NIGHT. Yaishe humu humu msilale navyoooo!
Mhhh lara wewe mbna kama umehamia mlengo wa kushoto,not ur stylee at alllll hahahah
 
Nafikiri mada ni Wema na wala sio members wa humu.
Tuondoe personal attacks tuchambue ushauri huu wa kifo cha kiumbe wa Wema a.k.a mdogo wa Swiss.
HAPO NDO MNAPOKOSEA, KUONA NI SAWA KUMJADILI WEMAAA BILA KUJIJADILI SISI. Haiwezekani kumtenganisha mtu na ushauri wake.
 
WALIZAA NA MIAKA MINGAPI? Hao wote wamzee above 30S HUKO NA WOTE WAMEZAA BAADA YA KUOLEWA. Mbona unataka kumponza Wema lakini?

Wema anawachezesha kwata tu, kaona hii post anawatia ndimu mtu ili mchachuke sanaa hususai bibi yenu.
Wema mjamzito.
Tena aliitega mimba kwa kuinua miguu kwenye kamba masaa 12
Shida na utata itakua kwenye kujua mtoto wa nani.
Natamani tubet.
 
Mhhh lara wewe mbna kama umehamia mlengo wa kushoto,not ur stylee at alllll hahahah

Sijahama wala nini, tatizo kuna mtu kani PM kimuuma sanaaa KUMUITA MWANAE MWANA HARAMU. Yeye anampenda sanaa, na sio kosa lake kama baba mtu lafa tu, hamtaki mtoto, na ndoa, mwanae kwake ni kila kitu. na mambo kibaoooooooo. Roho imeniuma sanaaaa. Kanilaani humo humo na mimi nizae mwanamharamu ili niongee vizuri. TOBAAAAAAAAAAAA! ndo nikaona ya nini? Mi nilikuwa nachangamsha genge tu hapa.

LAANA za nini wajameniii. WEWE NDO UMENIPONZAA. Kuchamba tunachamba wote kulaaniwa nalaaniwa peke yangu. Hahahaaaaa! Bwawa lishaingia ruba mi namchamba Omukwano watu wanachukulia personal! Ngoja nikimbie kabla laana hazijazidi.
 
Back
Top Bottom