Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

dini ya kiislamu hinaruhusu kutoa mimba?

swissme
NA KUZAA HOVYO HAIRUHUSU VILE VILE. Si mnasema mgumba nyie? BASI NDO ASIZAE HOVYO MPAKA AOLEWE
 
Acha azae atuletee wajukuu

Ataleta wajukuu aikolewa. Mijukuu ya kuokota hatutaki. Tushamuachia mama D, wajukuu wa 3, wote ndoa hakuna ama imevunjikaaa
 
SI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
Alahaulaa!! Wema mdogo ?? vipi ndio umemtoa unyagoni wiki iliyopita ??Kwani kuwa kwao ndio kumemfanya asizae ?? Ile sheria yetu ile ukimweka ndani mwanamke kwa miezi sita anakua mkeo wema ameitimiza kwa mabwana wangapi ?? Sitetei mtu ,ila kwa hilo hapana
 
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
"She should have morals" na hilo ndio haswa alitakiwa kuwa nalo kitambo sana na ndio hana na ndio unalotakiwa kumshauri kuwa nalo...
 
"She should have morals" na hilo ndio haswa alitakiwa kuwa nalo kitambo sana na ndio hana na ndio unalotakiwa kumshauri kuwa nalo...

MORALS NDO HUKO KUTOKUZAA HOVYOOOOOO! Manake hilo swala halitomdhuru yeye tu, litamuaffect hata huyo mtoto ataealiwa bila kufata maadili na kanuni za kidini. TUWAHURUMIE HAWA WATOTO, WANA HARAMU WAMEZIDI SANAA SIKU HIZI.
 
aolewe na nani wema?

Na mume, KWANI WEWE MUNGU NDO TUSEME USPIMUOA WEWE BASI? Mxiuuuuuuuuuu! MUNGU TU NDO ANAGAWA NEEMA ZAKE, BINADAMU KESHO YENU YENYEWE HAMNA YHAKIKA NAYO MTAONGEA NINI?
 
Wema sio binti bwana , Hivi huo ubinti mwisho miaka mingapi? Msimlishe ujinga miaka inaenda mnataka aje alee uzeeni
 
Mwambie afanye mpango aolewe azae. Mayai yataisha ohooo!

sHULE NDOGO SANAAA, Kaongeze shule ujifunze menopause na inatokea mtu akiwa na umri gani. Ndo maana nikasema wanaomwambia Wema azae hamna kitu kichwani
 
Wema sio binti bwana , Hivi huo ubinti mwisho miaka mingapi? Msimlishe ujinga miaka inaenda mnataka aje alee uzeeni

Wema is 27, sasa ujinga gani? Ujinga ndo mnamlisha huyo bibi wa 44 aendelee kukibemenda kitoto cha 26. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Mama D I PITY YOU. Yaani mimi ningekuwa ni wewe, Radhia, NINGELILOGELEA MBALI BIBI LENZANGU LILE. Hivi Mama D lile bibi si umelipita 4 yrst tu, si kama dogo lako lile. Hahahahahaaaaa!
 

Ngoja BINTI ZAKO, WAJE WAZALIE HAPO KWAKO, WAKULTEE WAJUKUU KEDEKEDE na Mungu akubariki uwepo kushuhudia neema hizo. Amen!
 
Na mume, KWANI WEWE MUNGU NDO TUSEME USPIMUOA WEWE BASI? Mxiuuuuuuuuuu! MUNGU TU NDO ANAGAWA NEEMA ZAKE, BINADAMU KESHO YENU YENYEWE HAMNA YHAKIKA NAYO MTAONGEA NINI?
hahaaa kumbe unatamani aolewe???? utasubiria sana, ataendelea tu kudanganya nimeolewa kama anavyofanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…