Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alahaulaa!! Wema mdogo ?? vipi ndio umemtoa unyagoni wiki iliyopita ??Kwani kuwa kwao ndio kumemfanya asizae ?? Ile sheria yetu ile ukimweka ndani mwanamke kwa miezi sita anakua mkeo wema ameitimiza kwa mabwana wangapi ?? Sitetei mtu ,ila kwa hilo hapanaSI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
"She should have morals" na hilo ndio haswa alitakiwa kuwa nalo kitambo sana na ndio hana na ndio unalotakiwa kumshauri kuwa nalo...Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
aolewe na nani wema?Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Huyu huyu ndio wema mwenyewe mkuu,r
pumba tupu yako yamekushinda nenda kamshauri mdogo wako kurudi kwa mmewe.
swissme
"She should have morals" na hilo ndio haswa alitakiwa kuwa nalo kitambo sana na ndio hana na ndio unalotakiwa kumshauri kuwa nalo...
Ila zinamtaka agongwe hovyo hovyo??SI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
Sasa yule bibi ni mswahili?Ndo mimi na uswahili wenu wa kuzaa kama kuku, kuzaa mpaka na wanenu NIMEUGOMEA
Wema sio binti bwana , Hivi huo ubinti mwisho miaka mingapi? Msimlishe ujinga miaka inaenda mnataka aje alee uzeeni
Mswahili hasa ni nani? Ni mtu yeyote anayezaa watoto wanne au zaidi?Kumbe je? Kwani Mzungu yule?
Alahaulaa!! Wema mdogo ?? vipi ndio umemtoa unyagoni wiki iliyopita ??Kwani kuwa kwao ndio kumemfanya asizae ?? Ile sheria yetu ile ukimweka ndani mwanamke kwa miezi sita anakua mkeo wema ameitimiza kwa mabwana wangapi ?? Sitetei mtu ,ila kwa hilo hapana
hahaaa kumbe unatamani aolewe???? utasubiria sana, ataendelea tu kudanganya nimeolewa kama anavyofanyaga.Na mume, KWANI WEWE MUNGU NDO TUSEME USPIMUOA WEWE BASI? Mxiuuuuuuuuuu! MUNGU TU NDO ANAGAWA NEEMA ZAKE, BINADAMU KESHO YENU YENYEWE HAMNA YHAKIKA NAYO MTAONGEA NINI?