Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza


HAHAHAAAAAAAAAAA! We Mungu jamani au msaidizi wake useme Wema hajawahi fata hizo kanuni? Au mwenzeetu una copy ya kitabu cha kuzimu? Huyo BIBI SI MNGEMSHAURI AOLEWE NDO AZAE SIO KUZAA ISVOTAKIWA NA DINI? MBONA MNAKUWA WABAGUZI?
 
sHULE NDOGO SANAAA, Kaongeze shule ujifunze menopause na inatokea mtu akiwa na umri gani. Ndo maana nikasema wanaomwambia Wema azae hamna kitu kichwani
Kwani kuna mahali nimeongelea menopause? Mi kwa hesabu za kawaida tu ni kwamba kama mtu alikuwa na mayai mia tano at the age of 12-13. Na kila mwezi anapunguza yai moja moja, so unategemea by the age of 27 bado atakuwa nayo hayo mia tano? Si yatakuwa yamepungua? That is my logic kuwa mayai yanapugnua as the age goes na mtu anapofikia menopause mtaji wa mayai ndio unakuwa umekata kabisaaa. Kuhusu shule hapo acha tu... Nina degree nyingi kiasi naweza kuwagaia watu waliopanda mshikaki kwenye boda boda na bado nikabakiwa nayo moja...
 

Ona unavyozidi kuchemka,

Unayemtetea anataka DNA ya ex inamuhusu nini, si akaombe za watoto wa babu aliyomlewesha kwa kumdanganya apewe za wanae.

anaumia kajaa wivu hata muandike nini, Chibu ni Mume wa Zari. Kashamdaka ni wake wanalea sasa. Ni mwendo wa wengi nyie kuongezewa ndimu tu hadi mpasuke vichwa.

Hakuna lingine zaidi ya wivu sababu yao yanaendelea na bado...kaangalie kideo cha Nasema Nawe... kile cha baba Tiifah na Utanipenda uburudike usikilize Baba Tiffah kajiitaje kwa Mama Tee ...umemuonaje na Wolper katoka bombaaaa ati?

Usisahau kutayarisha kiwalo cha ZAWP 2016.
 
Kweli ndio maana wanasema mwalimu wa wanawake ni kipofu...imagine huyu anamshawishi mwenzake asizae ili aendelee kufanya umalaya...

Si umshauri atafute mume aolewe azae (kama una uwezo lakini)
Bora umesema wew, ningeongea mm ningeambiwa namchukia kumbe walaaaa
 
Mi kajamba nani huku nani ananijua,yeye ze celebriti ndo tunamuweka kikaangoni hapa,
Idriss?haha sijuii

kuolewa ni stara ya mwanamke yeyote iwe kajamba nani? au kanya nani?. Maadamu HUJAOLEWA WEWE BINAFSI BASI USIJITIE MJUAJI WA MAISHA YA MWENZIO WAKATI YAKO YAMEKUSHINDAAA. Toa kwanza Boriti kwenye jicho lako ndo utoe Kibanzi kwenye jicho la wema.

Hapa hakuna kikaangia wala chapati, mimi dada yake nimempa ushauri kuntuuu that is it.
 
Hakuna cha uswahilin wala ushuan ila ukwel usemwe!
So unamshaur aendelee kufanya umalaya tu while mda unaenda? Why usimshaur atulie now apate mtu aolewe azae? Hamna tofaut ha poo, yote yale yale tu
 
Haahahaha asanteeeeeeeeee
 
Eti kama ana mimba akaitoe fasta,ushauri kuntu huu??please
 
Hakuna cha uswahilin wala ushuan ila ukwel usemwe!
So unamshaur aendelee kufanya umalaya tu while mda unaenda? Why usimshaur atulie now apate mtu aolewe azae? Hamna tofaut ha poo, yote yale yale tu

Muda gani unaoendaa? NDO MAANA NIKAKWAMBIA NYIE WASWAHILI? Obama raisi ana watoto 2 tu, tena mkewe aliwazaa kwenye 30s huko! Kim K kazaa 30s, Beyonce 30s, Rihana mwenyewe atzaa 30s.

Mtu kumpata sio swala la umri? Ni swala la bahati na rehema za Mungu. Kama Mungu hajapanga ampate kwenye umri mnaotaka nyie ndo hajapangaaa. Mda ukifika atapata kama Kim alivompata Kanye baada ya kushindwana na Chriss Humphris na wengine.
 
Afu Zari sio Bibi,alizaa mapema na anamaintain,ukweli tusemage tu jmn Wema kwa Zari haoni ndaniii,Si kwa uzuri,watoto,pesa,exposure nk nk...
Wema fans kama nawaona vle mtakavotoka povu hapa
Hahahahha unawachokozaa na ukweliii eee, ngoja wafike hapaaa
 
Afu Zari sio Bibi,alizaa mapema na anamaintain,ukweli tusemage tu jmn Wema kwa Zari haoni ndaniii,Si kwa uzuri,watoto,pesa,exposure nk nk...
Wema fans kama nawaona vle mtakavotoka povu hapa
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Alizaa mapemaaa! Mapema hio vepeeeeeeeeeeeee! Na miaka 10 au? Zariiii wa maana kwako maana WEWE BINAFSI HUNA EXPOSURE WALA IQ YA KUPEMBUA MAMBO. Kwa watu wazima kama sisi, zaidi ya kushinda MADALE OF ALL PLACES IN TZ, anapika, na kumfulia chibu, labda exposure anayopata ya wifi yake yule mzaa ovyoo mwingine, HANA LOLOTE IN TZ. Embu tell me any industry Z anayo make impact in Tz? lABDA instagram ya mahausgelo na waswahili wasioenda shule, au shule ndogo. Na kumtegemea EX husband ampe visenti vya kuvaa basi.

Sikulaumu, upeo wako unaruhusu kumuona Z wa maana.
 
Ba
Bahati ya MWENZIO usilalie mlango wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…