lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #61
Kanuni za dini Wema hajawahi kuzifata hata siku moja, kakiri kutoa mimba ya Kanumba na mambo mengine kibao ya hovyo
Alafu hakuna anayemshauri azae bila kuolewa atafute mume aolewe na yeye azae mtoto wake ambaye ni "mzuri"... Tupunguze hizi kelele kwenye social networks
HAHAHAAAAAAAAAAA! We Mungu jamani au msaidizi wake useme Wema hajawahi fata hizo kanuni? Au mwenzeetu una copy ya kitabu cha kuzimu? Huyo BIBI SI MNGEMSHAURI AOLEWE NDO AZAE SIO KUZAA ISVOTAKIWA NA DINI? MBONA MNAKUWA WABAGUZI?