Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Kwa hiyo wewe lara unamshauri azae lini? Menopause ni 45yrs and how about life expectancy ya mtz?
Acha azae bwana 27 sio mtoto huyo
NB: Mi sina team so don't judge me wrong simkubali huyo wema wala zari
 
Hongera miss michirizi unampunguza miaka mrembo zali aliyebalikiwa uzazi, asiyelea mbwa, asiyeiba umeme wa TANESCO, asiyeazima magari, asiye na urafiki na mashoga wote wa mujini, unamuongeza miaka.
Hivi wakina Lulu tuwaitaje kama miss mahipsi mporomoko naye ukimwita binti ?
 
Bora aliyezaa kuliko tasa

BORA TASA KULIKO ALIEZAA HOVYO. Manake anamtesa yule mtoto kisaikolojia kujiuliza ana kasoro gani mpaka awe MWANA HARAMUUUUU?
 
Amakweli mwanamke mwalimu wenu ni vipofu!
 
Ee
Wema ana make impact kwny industry ipi kwa mfano,movie??pls zipii hizo,
Mana nachoona mjini hapa anauza.... tu
Walau zari ana biashara ya chuo South Africa na mumewe na maduka,
Ntajie source of income ya wema tafadhali
 
n

Nampunguzia miaka ipi? Kazaliwa 1988. October mwaka huu anafikisha 28, lakini currently she is 27. Umeme nyumba ya kupangaaa, mita ya mwenye nyumba. Gari yule mwenye gari ALIWAJIBU, range haipo moja mjini. Mashoga nao watu kaka wewe wameumbwa na Mungu. Lulu nae binti vile vile kwani wema kuwa binti kuna mzuia nini lulu kuwa binti?
 
pole kwa kazi Madam... Hiyo movie ya X inaitwaje??
 
Tuacheni kumperemba sana huyu wema,truth is she is a disgrace, yani sio binti mfano wa kuigwa kabisa,wema anamfundisha nini binti wa kawaida wa kitanzania??,ajirekebishe tabia atulie,who knows angekua level za kna faraja na klyn kama angebaki natural akatulia,
Atlst kwa mamiss km kna klyn, faraja tunajifunza kutulizana n being classy women
 
E
Ee

Wema ana make impact kwny industry ipi kwa mfano,movie??pls zipii hizo,
Mana nachoona mjini hapa anauza.... tu
Walau zari ana biashara ya chuo South Africa na mumewe na maduka,
Ntajie source of income ya wema tafadhali

Hahahahahahaaa! Sishangai kuniulizaaa, ngoja nikujibu.

Wema ana make impact kwenye ENTERTAINMENT INDUSTRY, Ana sponsorship nono ya AIRTEL kwenye IN MY SHOES SHOW. Na ni moja ya waanzilishia wa REALITY SHOW sector katika TELEVISION SECTOR TZ. Na she is only next to Salama Jabir and Madam Rita kwa kuwa mmiliki mwenye tv program inayobamba interms of viewers, reviews, na impact.

Najua nimekufungua machooo. Lazima uone ana uza coz mwenyewe YOU DONT HAVE A CLUE ABT YOUR OWN LIFE ITAKUWA LIFE YA WEMA?

z hiko chuo chao kinaitwaje TUKI GOOGLE HAP HAPA. Mumewe business yake inajulikana anayopiga vita Mange.
Ee

Wema ana make impact kwny industry ipi kwa mfano,movie??pls zipii hizo,
Mana nachoona mjini hapa anauza.... tu
Walau zari ana biashara ya chuo South Africa na mumewe na maduka,
Ntajie source of income ya wema tafadhali
 
THAT IS YOUR OWN TRUTH, Uache kujiperema mwenyewe hilo ndo la msingi na mboleaaa. Unavomuita mwenzio a disgrace WHAT ARE YOU? Hahahahaaaaaaaaa! Beach pleaseeeeeeeeee!

THE BIGGEST LIES ARE THE ONES WE TELL OURSELVES.
 
pole kwa kazi Madam... Hiyo movie ya X inaitwaje??
Mfollow mtu anaitwa @ zari_stayaway_from _wema instagram utaona Clip, si kwa papa lile umalize MB zako bureee! HAHAHAAAAAAAA! Afu ni Solo hio, bibi Z na kidubwana. Hahahaaaaaaaa! Afu watu wabaya wana watag wale wanae kila waki upload. Hahahahaaaaa! Nacheka kwa masikitiko.
 
Hehehe utadhani wema anakulipa kwa huu upromota hapa,..zari mwnyw humjui uko unamtaja taja tu hapa
 
Kwa hiyo wewe lara unamshauri azae lini? Menopause ni 45yrs and how about life expectancy ya mtz?
Acha azae bwana 27 sio mtoto huyo
NB: Mi sina team so don't judge me wrong simkubali huyo wema wala zari

Kwa nyie wswazi 20 tu sio mtoto, na kuzaa ovyo ndo fahari yenu so kusema haya sikushangai. ILA WEMA MTOTO WA BALOZI BWANA, USHUANI UNAZAA ONLY WHEN YOU ARE MARRIED, AND READY NA UNA MAISHA YA KUMPA HUYO MTOTO.
 
Hehehe utadhani wema anakulipa kwa huu upromota hapa,..zari mwnyw humjui uko unamtaja taja tu hapa
Wewe una mjua huyo Z? Mimi namjua Wema, she was my school mate. Ndo maana nimeamua kumshauri
 
THAT IS YOUR OWN TRUTH, Uache kujiperema mwenyewe hilo ndo la msingi na mboleaaa. Unavomuita mwenzio a disgrace WHAT ARE YOU? Hahahahaaaaaaaaa! Beach pleaseeeeeeeeee!

THE BIGGEST LIES ARE THE ONES WE TELL OURSELVES.
Hahaha tatzo unaniingiza mimi in the picture wakati discussion hapa ni wema na zari.... Utapita kona nyingi sanaa ila wema is a disgrace, tuige na kujifunza nini, mikorogo?uhuni??pleaseeee
Na ana usongo kwel na mtoto akiwa single mother ndo anapoteaa kabisaaa,ndege mjanja hunasa tundu bovu kumbuka
 
Kwa nyie wswazi 20 tu sio mtoto, na kuzaa ovyo ndo fahari yenu so kusema haya sikushangai. ILA WEMA MTOTO WA BALOZI BWANA, USHUANI UNAZAA ONLY WHEN YOU ARE MARRIED, AND READY NA UNA MAISHA YA KUMPA HUYO MTOTO.
Naona kutoa mimba basi fahari ya ushuani
 
Hahahahaaaaa! Tatizo wewe unataka kuji separate na ushauri wako, which makes you a HYPOCRITE. Mwenzio nimeungana na ushauri wangu and i am credible to give it. NDO YALE WEWE HUJAZAA UNAMSHAURI MTU AZAE TU BILA NDOA. KWANINI USIANZE KUZAA WEWE? OOH MIMI KAJAMBA NANI! Mxiuuuuuuuuuuuu!

If Wema is a disgrace WHAT ARE YOU? Au unataka nikukumbushe yako ya humu humu JF? HAHAHAHAAAAAAAAAAAAA! Sitaki dhambi sahivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…