Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Seriously abusing relationship? Apart from D hajadate na wengine? Huyo aliyetaka kumuoa juzi je? Nayo ilikua abusive? Had akajiombesha msamaha kwenye social media....
Tabia ni tabia tuuuuu
 
Hajazaa coz kajitangaza wazi kaabort,sio sifa Ile, angekaaga kimya tu,AZAE japo mmoja tuone mkongoroko wake...vigori wakiitwa huoni hata zari anaqualify kwenda
Hahahhahaha sipatii picha ndimuu utakayomeza uje kujibu hapa hahahaha
 
Wa kuoa Idriss yule au??
 
Mi kajamba nani huku nani ananijua,yeye ze celebriti ndo tunamuweka kikaangoni hapa,
Idriss?haha sijuii
Idris akimuoa wema akienda Arusha atazomewa na atafuta urafiki na washkaji zake wote wa chugga
 
kubwa la Maadui (Lara1)kumbe upo team Wema! unasaidiana na akina dougie master20.hapo hachomoki mtu! kichambo kwa kwenda mbele kwa Bibi Bomba na ushindi ni wako..
 
kubwa la Maadui (Lara1)kumbe upo team Wema! unasaidiana na akina dougie master20.hapo hachomoki mtu! kichambo kwa kwenda mbele kwa Bibi Bomba na ushindi ni wako..

Hahahahaaaaaaaaaa! Mimi wala sipo TEAM YOYOTE. SEMA UPOTOSHAJI WA KUMSHAWISHI MTU WA 20S YUPO KWAO AZAE NDO SIKUBALIANI NAO. ISITSHWE UNAFANYWA NA MTU 40 SOMETHING HUKO, AMESHAACHIKA NA ANA WATOTO 4! KHAAAAAAAAA! WA TZ TUSIPENDE KUIGA VISIVO IGIKA
 
Idris akimuoa wema akienda Arusha atazomewa na atafuta urafiki na washkaji zake wote wa chugga

HHAHAAAAAAAAAA! Kwa hio wewe utaoa KUWAFURAHISHA WASHKAJI ZAKO? Makubwaaaaaaaa!
 
Jamii forum inaenda kuwa kimbilio la cremes wanaoshambulia watu kwa FAKE IDS
MODS MPO KARIBU 10 sjui. Kama hili mmeliona au mpaka mambo yaharibike au kwakua consumers wenu wana privilege ndomana mnayaachia haya.
Cc: Invisible Mhariri Moderator
 
Wa kuoa Idriss yule au??
Wa kuoa atajulikana akipatikana kama atavojulikana WA KUKUOA WEWE, NA WA KUNIOA MIMI! Usishupalie wa KUMUOA MWENZIO WAKATI WA KUKUOA WEWE RAMANI HUNA. Hahahahaaaaaaaaaa!
 
Afu Zari sio Bibi,alizaa mapema na anamaintain,ukweli tusemage tu jmn Wema kwa Zari haoni ndaniii,Si kwa uzuri,watoto,pesa,exposure nk nk...
Wema fans kama nawaona vle mtakavotoka povu hapa
Hahaha...waache watu wanaolinganisha kitambi na mimba. ZARI HATA AKIWA NA WATOTO 15, ni mzuri tuu.
 
Jamii forum inaenda kuwa kimbilio la cremes wanaoshambulia watu kwa FAKE IDS
MODS MPO KARIBU 10 sjui. Kama hili mmeliona au mpaka mambo yaharibike au kwakua consumers wenu wana privilege ndomana mnayaachia haya.
Cc: Invisible Mhariri Moderator

Alieshambuliwa nani? USHAURI TU UMETOLEWA.
 
Hahaha...waache watu wanaolinganisha kitambi na mimba. ZARI HATA AKIWA NA WATOTO 15, ni mzuri tuu.
ila ndo ana mitoto 4, ukweli utabakia hivo, k imepitisha vichwa 4, 3 halali, kimoja haramu
 
Eti timu kuzaa hovyo, huyo wa mpango yuko wapi. Kwahiyo unamshauri ale ujana kwanza.
 
kubwa la Maadui (Lara1)kumbe upo team Wema! unasaidiana na akina dougie master20.hapo hachomoki mtu! kichambo kwa kwenda mbele kwa Bibi Bomba na ushindi ni wako..
Huyu ndio wema mwenyewe mbn uusomi mchezo mkuu?
 
Mabibi wanaposhauriana cha kufanya!!!Ana usichana huyo wema mpaka asizae?kama kuolewa haolewi sasa kwanini asizae?endeleni kudanganyana jua linawazama
 
Hajazaa coz kajitangaza wazi kaabort,sio sifa Ile, angekaaga kimya tu,AZAE japo mmoja tuone mkongoroko wake...vigori wakiitwa huoni hata zari anaqualify kwenda
Hahahhahaha sipatii picha ndimuu utakayomeza uje kujibu hapa hahahaha

HAJAZAAA COZ HAJAWA TAYARI KUZAA, NA HANA MAZINGIRA YOYOTE YA KUZAAA. ATAZAA AKIOLEWA NA KUWA NA FAMILIAAA. ZAA WEWE TUONE BASI,

Komaaa hamna KIGORI ANA MITOTO 4. Ndumu mimi ndo muuza, silambi hata siku moja
 
Mabibi wanaposhauriana cha kufanya!!!Ana usichana huyo wema mpaka asizae?kama kuolewa haolewi sasa kwanini asizae?endeleni kudanganyana jua linawazama
ZAA WEWE USIJALI MAADILI. Mwenzio kafundwaaa and she has CLASS. We zaa tu maana ukoo wenu umezoea.
 
Bora awe tasa hivo hivo mpaka ATAKAPO OLEWAAAA. Kuwa MZAA OVYO yataka moyo
Ina saidia nini akiolewa ilihali sasa hivi anaifanya, hata haya unayoposti hapa ni matokeo ya ngono zake. Kama ni dhambi anazo tayari na anaendelea nazo.
 
Ujue hata Idris kwa sasa anabemendwa, Diamond pia alibemendwa vile vile...... Wabemendwe maana hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…