Ahahaha ngoja nikuelewe kwa upande wa upili maana katika hali ya kawaida hueleweki juu ya hili!!ZAA WEWE USIJALI MAADILI. Mwenzio kafundwaaa and she has CLASS. We zaa tu maana ukoo wenu umezoea.
WEW UME DATE WANGAPI? Bwana wako kwanza kakuoa? Huwezi jua, bwana huyo huyo si alimuacha Lina in COLD BLOOD? What can you expect? Wewe mwenyewe unaachana na mabwana kila kukicha itakuwa Wema?Seriously abusing relationship? Apart from D hajadate na wengine? Huyo aliyetaka kumuoa juzi je? Nayo ilikua abusive? Had akajiombesha msamaha kwenye social media....
Tabia ni tabia tuuuuu
Naona alikulambisha bleed ya hio mimba ya kanumba, maana ulikwa nae wakati anatoa. Huoni alifanya la mbolea angekuwa ANATESEKA mwenyewe sahivi. Aliona mbaliAhahaha ngoja nikuelewe kwa upande wa upili maana katika hali ya kawaida hueleweki juu ya hili!!
Ni kweli amefundwa yule binti maana hata Mimba ya kanumba aliyoitoa ilikua ni sehemu ya mafunzo ya kungwi wake kipofu
Subirini ndoa,labda yesu Arudi ahahahahahahh
Na amewahi kukiri mara kibao kuwa anatamani sana kuzaa ila inashindikana.. Amewahi kutamka kuwa labda ni laana kutokana na kutoa mimba ya kanumba!!! Sasa huyu anayemshauri mwenzie asizae nahisi hajui anachoongea..Huyo wema anataman sana mtoto, unadhan akipata now ataacha kuzaa!
Breaking news!.wooh. thank you..Huyu ndio wema mwenyewe mbn uusomi mchezo mkuu?
c'mon lara 1!!! This is tooooo low, So unataka kutwambia kuwa wema hataki kuzaa kwasababu anazingatia maadili ya dini???? Duuuuuhh, hahahhhahahh..NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
Umesahau wakati unamlamba ile damu yake iliyokua imeoza kwasababu ya kutoa mimba mara hii??!Kweli kumbukumbu hamna!!Naona alikulambisha bleed ya hio mimba ya kanumba, maana ulikwa nae wakati anatoa. Huoni alifanya la mbolea angekuwa ANATESEKA mwenyewe sahivi. Aliona mbali
Hahahhaha Kuna kapointi kazuri umekasema mwnyw hapo juu
"Na ukweli unaoona wewe sio lazima uwe ukweli kwa wote So usitufosi kuona mambo unavoona wewe."
Hv hata hustuki thread zimaaa hamna anaemsapoti wema na majanga yake,we ndo unaetufosi jamii nzima hapa wkt we know all the crap abt wema
Hehehe ya @MoneyStunna u bought it tooo hahahaahha ilikua changamsha gengee Jf ukadhani kweli,muulize ashuhudie hapa
Wema tunakomaa nae ndio mana she is a disgrace abadilike,
Aging of course ts human nature atleast age gracefully basiii,hapo 28 mwili umemlepetwa tyr,akizaaa jee, akizaa wa4???afu mnataka kumweka level moja na zari plssss
She fake,sio ngozi yake Ile mchubuo mara sijui surgery China,hata nywele zake natural hatuzion fake fake everything,... Jipangeeee ndo umshauri mwenzio
Kama unalijua hilo ulitakiwa kumshauri, atulie sasa aachane na mabwana asiofunga nao ndoa,kuolewa ni stara ya mwanamke yeyote iwe kajamba nani? au kanya nani?. Maadamu HUJAOLEWA WEWE BINAFSI BASI USIJITIE MJUAJI WA MAISHA YA MWENZIO WAKATI YAKO YAMEKUSHINDAAA. Toa kwanza Boriti kwenye jicho lako ndo utoe Kibanzi kwenye jicho la wema.
Hapa hakuna kikaangia wala chapati, mimi dada yake nimempa ushauri kuntuuu that is it.
Wewe labda ndo alikulambishaa mana una uhakika nayo mpaka kufa, embu tupe basi ilikuwa na ladha gani?Umesahau wakati unamlamba ile damu yake iliyokua imeoza kwasababu ya kutoa mimba mara hii??!Kweli kumbukumbu hamna!!
Yeye mwenyewe ndio alitangaza kwamba alitoa mimba ya kanumba sasa sijui povu linalokutoka la nini!!may be unataka league
K
Kama unalijua hilo ulitakiwa kumshauri, atulie sasa aachane na mabwana asiofunga nao ndoa,
Lara 1, inaonekana huna taarifa za kutosha, wema amewahi kukiri mara kibao kuwa anatamani mtoto!! Kuna segment hadi ya kipindi chake in my shoes analalamika kuhusu mtoto, amewahi kufika mbali zaidi akasema labda kwasababu alitoa mimba ya kanumba ndo mana anashindwa kupata mtoto sasa wewe unayetuambiwa kuwa wema anashida na mtoto lazima tukushangae..a
Afu nyie ndo wale wale TEAM KUZAA HOVYO. Atamani mtoto wa nini?
Hivi nini kilitokea kwenye hilo penzi make lilizimika gafla kama mshumaa au ile michambo kuwa alienda kwenye birthday mikono mitupu ha ha ha ha haSeriously abusing relationship? Apart from D hajadate na wengine? Huyo aliyetaka kumuoa juzi je? Nayo ilikua abusive? Had akajiombesha msamaha kwenye social media....
Tabia ni tabia tuuuuu
kamuulize mwenzio yule ilikuwaje!!halafu mukiwa waongo muwe na kumbukumbu!mara hii mmesahau kama sepenga mwenyewe alisema kwamba ameshatoa mimba ya kanumba?makubwaaWewe labda ndo alikulambishaa mana una uhakika nayo mpaka kufa, embu tupe basi ilikuwa na ladha gani?
Lara 1, inaonekana huna taarifa za kutosha, wema amewahi kukiri mara kibao kuwa anatamani mtoto!! Kuna segment hadi ya kipindi chake in my shoes analalamika kuhusu mtoto, amewahi kufika mbali zaidi akasema labda kwasababu alitoa mimba ya kanumba ndo mana anashindwa kupata mtoto sasa wewe unayetuambiwa kuwa wema anashida na mtoto lazima tukushangae..
Hivi nini kilitokea kwenye hilo penzi make lilizimika gafla kama mshumaa au ile michambo kuwa alienda kwenye birthday mikono mitupu ha ha ha ha ha