Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mara kibao tu kishasema alitoa mimba ya kanumba na sababu ya kutoa alisema alikua mdogo lol hiyo mimba ya kumuingia mtoto mdogo ni kibokoKAKIRI WAPIII? KWENYE MAGAZETI YA SHIGONGO AU? Ile inaitwa SHOW BUSINESSSkucheza na PUBLIC PSYCHOLOGY FOR YOUR GAINS.
Endelea kujitoa ufahamuNdo ukumbuke ina LADHA GANI? si uliinja? HAHAHAAAAAAAAAA!
Aaah wapi kilichotokea anajua mwenyewe na kama hajafumwa sijui tu make it seems Jamaa ndo kamwaga kuna siku wema kamuomba samahani mtandaoni sijaona reply ya jamaaHio nayo kasorooo, WEMA HAJAZOEA KUFUGA MABWANA KAMA WATU FUDENGE HUMU. HAHAHAAAAAAAAA!
Mara kibao tu kishasema alitoa mimba ya kanumba na sababu ya kutoa alisema alikua mdogo lol hiyo mimba ya kumuingia mtoto mdogo ni kiboko
Ahahaha kujitoa ufhmu saa nyingine raha sana!hapo rala1anainjoy watu wanavyopanickMara kibao tu kishasema alitoa mimba ya kanumba na sababu ya kutoa alisema alikua mdogo lol hiyo mimba ya kumuingia mtoto mdogo ni kiboko
Aaah wapi kilichotokea anajua mwenyewe na kama hajafumwa sijui tu make it seems Jamaa ndo kamwaga kuna siku wema kamuomba samahani mtandaoni sijaona reply ya jamaa
Ila utoaji mimba tuisifie kwa jina la huyo Mungu wako sio?.Mi sijui miaka ya Zari na wala sio mshabiki wake ila kiukweli yule mama yuko vizuri na kuzaa kote kule utadhaniaga ndo ana miaka 18 vile, Wema ndo anaonekana bibiSI WATU WA MUNGU BWANAAA, Tunakemea tabia ya UBEMENDAJIIIIIIII VITOTO! Eee Mungu niepushie kizazi changu kima cha BIBI hili, yasije kumkumba mwanagu. Mungu wewe ndo muweza ya yote, waepushe wanangu kabisaa na mibibi iliochikaaa, imezeeka na kubemenda watoto wa wenzao.
Kilichofanya aombe msamaha wa hadharani ni kipi sasa?TUNAFUGA VIJIBWAAA TU, HATUFUGI MABWANAAAA! Mpo hapo? Wenzie wanunue Morrano, Range yeye alete FREE P, KWENDRAAAAAAAAAAAA!
Ila utoaji mimba tuisifie kwa jina la huyo Mungu wako sio?.Mi sijui miaka ya Zari na wala sio mshabiki wake ila kiukweli yule mama yuko vizuri na kuzaa kote kule utadhaniaga ndo ana miaka 18 vile, Wema ndo anaonekana bibi
Unamaneno we dogolasi ni hatareee,am enjoying this show down,eventually you will emerge the winner as usual. they cant you.TUNAFUGA VIJIBWAAA TU, HATUFUGI MABWANAAAA! Mpo hapo? Wenzie wanunue Morrano, Range yeye alete FREE P, KWENDRAAAAAAAAAAAA!
Hatuongelei wangapi tunamuongelea wema na nlikua nakukumbusha kuwa alishasema katoa mimba na sababu ya kutoa akasema, kwa kuwa dhumuni ni Kumshauri basi ushabiki weka kandoWANGAPI MIMBA WANATOA??????? WAKE ZA WATU WENYEWE MABINGWA WAKUCHOROPOA ZA WAUME ZAO COZ UCHUMI HAUJAKAA VIZURI. Itakuwa Wemaaaa? Na kama anayo ingine AKATOE HARAKAAAA.
Akili yako fupi kama kia la mbuzi. Mwenzako anakesha kwa waganga apate kuzaa, we kwa ufinyu wa akili unajitahidi kuharalisha ugumba!!! Kwa taarifa yako Wema umri umeshamtupa pia, anahaha kupata mtoto mpk anajaza mitambala tumboni lkn wapi...mambo hayaitiki!!! Badala ya kumsaidia unazidi kumpoteza!!!! Kuzaa ni tunu (zawadi) ambayo kila mwanadamu (hasa kwa umri kama huo wa Wema) anaihitaji mno. Kitendo cha kushindwa kupata mtoto kwa age ya Wema ni tatizo kubwa zaidi ya hivyo ufikiriavyo.
Good kumbe wajua anavopenda kuongelewa hata hizi kelele za mimba ni mwendelezo wa kutaka kuongelewa, we unamsemea asizae ila ye anataka kuzaaa yani anataka mnoooooooSHOW BUSINESS! Ili muongee abaki kwenye chatiiiii! ILA MABWANA HATUFUGIIIIIIII NDO KAULI MBIU YA 2016
Hatuongelei wangapi tunamuongelea wema na nlikua nakukumbusha kuwa alishasema katoa mimba na sababu ya kutoa akasema, kwa kuwa dhumuni ni Kumshauri basi ushabiki weka kando