Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

dah masikini Wema ndo mana wanamchezea akili yake
 
ivi huawei anaweza kufika bei huyo sh.nz type! au s4 ndo inamzingua
 
Asamehewe bure ndoa ya ndomo na menina inampa tabu na.stress kwa kweli hata alichokizungumza hakielew akiulizwa maana ake
 
Stress za kuwa na uhakika wa ndoa..poor her!!
 
Angespecify kabisa ni Huawei 330, Huawei 300, Tecno M3 na Tecno P5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…