Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana wema kawaumbua.
Hahaha me mbona wewe sikuwezi hata. Dinazarde mpwa wako kakumiss huku, njoo umsalimie
Hata mi nilimsika na aliniudhi sana manina zalke eti akajifanya hajui kiswahili.
Aliniudhi sana aliposema eti yeye ni mtamu sana hadi mtangazaji ikabidi aombe mwongozo wa Kibonde.
Wivu wa kike
Wema kazungumza ukweli
Atazijulia wapi na huwa yeye anapewa tu!Mpuuzi huyo Wema.......hajui cm aache kuropoka.
Wewe nawe ndio wale wale! Ungekuwa unazijua Huawei ungeshangaaWivu wa kike kasema kweli.
Atazijulia wapi na huwa yeye anapewa tu!