Wema: simlishi Diamond viporo

Wema: simlishi Diamond viporo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo,
Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa
yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani
baada ya kusema anajitahidi kila siku katika
suala la mapishi ili asimlishe viporo
Akipiga domo na paparazi wetu, Wema
alisema kama mwanamke anajua thamani ya
mwanaume siku zote hata kama ‘ baby’ wake
atarudi usiku , lazima aingie jikoni kupika na
haweki chakula kwenye ‘ hot pot ’ .
“Siku zote si kwamba najisifia ila kwa jikoni
ndiyo mwenyewe sasa kwa nini nipike
chakula halafu niweke kwenye hot pot ?
Kwangu siruhusu kabisa itokee , ” alisema
Wema .
 
anajua kupika msosi gani hasa?kusonga ugali ataweza huyo!
 
Badoo utajipendekeza sanaa mwisho wa yote utatoka kapa tu
 
Kwani kuamka usiku kupika ndio uonekane mwanamke au Tabia ndio muhimu? asituchoshe nae,wakupika atakua yeye?
 
anapata wapi muda wa kupika huyu? muda wote anashindia kwenye vigodoro.
 
Nyie wanawake mbona huwa hampendani?
Sio kweli tunapendana ila kwa tabia yake huyu mdada hana msimamo na kauli yake,anachefua na story zake na Abunuasi...
asipo tajwa mda kwenye gazeti lazimaatafute chakuongea hata kama hakina mana...akifanya kizuri tutamsifia bila kinyongo...
 
Wanawake mna matatizo sana...sasa mtu kumtendea hayo mpenzi wako utasemaje anajipendekeza? acheni hizo bana

Atuambie na tigo humpa mara ngapi kwa sikuuu maana nasikia domo Hagusi k yake ni bakuliii
 
Kwani kuamka usiku kupika ndio uonekane mwanamke au Tabia ndio muhimu? asituchoshe nae,wakupika atakua yeye?

Utakuta anampikia wali wa kwenye rice cooker basi anajionaaaa
 
Utakuta anampikia wali wa kwenye rice cooker basi anajionaaaa

Ahaha haahah ahahah binamu dah, kupika kwenyew nasikia had viwe vyakula vitamu, kama maharage na mboga za ajabu et hapik
 
Atuambie na tigo humpa mara ngapi kwa sikuuu maana nasikia domo Hagusi k yake ni bakuliii
K yako Kama mtungi...hata Kama humpendi Wema ila ni mwanamke mwenzako inabidi umsitiri...hukwenda mkoleni?
 
Back
Top Bottom