Wema: simlishi Diamond viporo

Wema: simlishi Diamond viporo

Usimuombee mabaya mama ubaya maana akiachika kwa ndomo hata pata bwana mwingine Wa kujitoa mhanga
 
Yaah hat a Mimi naona kama kuna wema mpya tangu pale asemwe!

Nop, wema hajabadirika baada ya kusemwa, ila kabadilika na kupunguza umalaya baada ya kurudiana na ndomo, ki ukwel wema sasa ivi huwez kumsikia na scandal za kutoka na wanaume kama ilivyokuwa zamani, zaman wema alikuwa anakitomb*sha bwana had ndomo aliwahi kukir wema ni kahaba na alishamfumania guest uchi na mwanaume mwingine

Ila siku izi mda sana hajasikika na skendo za wanaume kwa kweli, inaonekana kwa ndomo kafika dada wa watu, ila tu namuonea huruma maana huyo mtu anayemtaka amuoe spare mkonon kwa kwel, dah namuonea huruma sana dada wema.
 
Kwa hiyo Wema Anaishi kwa Domo
Domo.?
Au wameshaoana rasmi.
 
Halafu utegemee ndomo ataoa hapo wakati kumbe daily akiitaka k anaipata!!
 
Nop, wema hajabadirika baada ya kusemwa, ila kabadilika na kupunguza umalaya baada ya kurudiana na ndomo, ki ukwel wema sasa ivi huwez kumsikia na scandal za kutoka na wanaume kama ilivyokuwa zamani, zaman wema alikuwa anakitomb*sha bwana had ndomo aliwahi kukir wema ni kahaba na alishamfumania guest uchi na mwanaume mwingine

Ila siku izi mda sana hajasikika na skendo za wanaume kwa kweli, inaonekana kwa ndomo kafika dada wa watu, ila tu namuonea huruma maana huyo mtu anayemtaka amuoe spare mkonon kwa kwel, dah namuonea huruma sana dada wema.

Pia kufulia kumemfanya a change life style..kashaona mwokozi wake kwa sasa ndomo...maana ndomo akimwaga kwa sasa ni sawa ameka u.c.h.i
 
Pia kufulia kumemfanya a change life style..kashaona mwokozi wake kwa sasa ndomo...maana ndomo akimwaga kwa sasa ni sawa ameka u.c.h.i

Eeee upo sawaa kabadilika kwa kua hana pesaa, ,subiri aje azinyakeeee weee utamsikiaa huyooo
 
K yako Kama mtungi...hata Kama humpendi Wema ila ni mwanamke mwenzako inabidi umsitiri...hukwenda mkoleni?

Mtungi wa gesi au mtungi wa tigo yako,,weeeee usitake nikuhamishieeee siku yangu kwako ,hebu katapike ndio uje hapaa mdomo ukiwa msafii
Mwanamke mwenzangu nyooo umejuaje kua mi ni mwanamkee ntolee sura kama kijambio cha mbuzi akijamba mpaka vumbi linatimkaaa mfyuuuuuu
 
Hongera ya nn sasa, dah wat mna visa sana

Visa sanaa hapo hongera sijui nini kutoka ofisini mpaka kupikaa hhhhaaaaaaaaaaaa vigodoro hua anaenda saa ngapiii
 
Visa sanaa hapo hongera sijui nini kutoka ofisini mpaka kupikaa hhhhaaaaaaaaaaaa vigodoro hua anaenda saa ngapiii

Najua mna wivu kwa sababu ameumbika na yupo na msanii maarufu bongo.tulia wema kwenye ndoa yako achana na manungayembe yanahangaika.
 
Najua mna wivu kwa sababu ameumbika na yupo na msanii maarufu bongo.tulia wema kwenye ndoa yako achana na manungayembe yanahangaika.
hivi jamani unadhani nani atamwonea wivu wema?.watu wanamwonea huruma kwasababu anatunika kwa domo.halafu wema sio msanii maarufu bongo kwa movie ngapi alizotoa zikabamba?kama shepu sio kigezo kabisa cha kuolewa ni tabia ya mtu.halafu wema hajaolewa anatumika tu na domo.msipende kumpabdikiza ujinga mkadhani mnamtetea kumbe mnampoteza.wema ametulia sasa kwasababu amefulia na domo mbahili aache kumpa mama ake pesa ampe wema.wema lazima awe mpole tu.atapata pesa ya mboga basi.hela za matanuzi asahau.domo si ck.
 
Mtungi wa gesi au mtungi wa tigo yako,,weeeee usitake nikuhamishieeee siku yangu kwako ,hebu katapike ndio uje hapaa mdomo ukiwa msafii
Mwanamke mwenzangu nyooo umejuaje kua mi ni mwanamkee ntolee sura kama kijambio cha mbuzi akijamba mpaka vumbi linatimkaaa mfyuuuuuu

Uwiiiii,nimecheka hadi machozi jamani kijambio cha mbuzi????
 
Ina maana hana majukumu

Kazi yake ni kupika tu???????

Ndio maana haoni umuhimu wa hotpot
 
Upumbavu wa hali ya juu yaani uamke saa sita kumpikia mtu kwanza ni kumchosha maana ina maana amechelewa halafu bado asubiri kiive labda kama ni tambi unampikia kila akichelewa kwani ukiweka kwenye hotpot kinapoteza nini???halafu kwa kuwa hana kazi ya kumtaka awahi asubuhi...halafu kiafya kuna muda wa kula...hivi kwani lazima kila step mtu ujitangaze..
 
Back
Top Bottom