Wema: Ugonjwa wa ngozi umeniaribu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MISS Tanzania 2006 /07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka .

Akizungumza kwa huzuni , Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo lingekuwa kubwa , kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake.

"Ulianza muwasho , kikawa kipele kisha kikageuka kama kishilingi. Nilipokwenda hospitali nilipewa dawa ya cream ya kupaka, mimi nikachua eneo lililoathirika, kumbe ndiyo nikawa nasababisha matatizo, kukavimba zaidi kama unavyoona, " alisema Wema ambaye alikataa kupigwa picha .
 
Hi mikorogo wadada wanayo apply ni shida madhara yake ndio hyo mana siku.hizi wapiga deki ndo habari ya.mjini pole yake.hapo hadi sura itamshuka
 
Hi mikorogo wadada wanayo apply ni shida madhara yake ndio hyo mana siku.hizi wapiga deki ndo habari ya.mjini pole yake.hapo hadi sura itamshuka

Angekuwa na kaka clement angempeleka china apo kwa ndomo atasugua gaga ,maskini mama ubaya sasa kama uso umeanza kuumuka uko chini kwa bibi sijui itakuwaje jaman
 
Na pesa ya kwenda china sijui ataitoa wapiii AKOMEEE
 
Angekuwa na kaka clement angempeleka china apo kwa ndomo atasugua gaga ,maskini mama ubaya sasa kama uso umeanza kuumuka uko chini kwa bibi sijui itakuwaje jaman

Hadi namhuria reception kuharibika ni majanga aisee domo aokoe jahazi aende chaina
 
wema anapenda kiki kila siku magazetini mi nshamchoka jamani
 
jamaniiiii pole kwake.....doctor ana upenzi na new_kajala nn? cha kumpa mrembo wa tz huo mdawa wa kuzd kumharbu ndo nn....
 
Na pesa ya kwenda china sijui ataitoa wapiii AKOMEEE

Kashazoea kwa kaka clement mbu akimng'ata tu kaka clement anampeleka china kutibiwa , sasa kwa ndomo ataisoma namba mwaka huu had aumuke awe kama zile maiti za kule bunju
 
Atakuwa kakosea kuchanganya carolite huyo

Shoga yake cheus dawa anamshaur vibaya boss wake, anampa ma carolite anachanganya na maji ya betri ye ngoz yake nzur mama ubaya sasa kaumuka kama zile maiti zilizokamatwa bunju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…