warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
MISS Tanzania 2006 /07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka .
Akizungumza kwa huzuni , Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo lingekuwa kubwa , kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake.
"Ulianza muwasho , kikawa kipele kisha kikageuka kama kishilingi. Nilipokwenda hospitali nilipewa dawa ya cream ya kupaka, mimi nikachua eneo lililoathirika, kumbe ndiyo nikawa nasababisha matatizo, kukavimba zaidi kama unavyoona, " alisema Wema ambaye alikataa kupigwa picha .