Wema: Ugonjwa wa ngozi umeniaribu

Shoga yake cheus dawa anamshaur vibaya boss wake, anampa ma carolite anachanganya na maji ya betri ye ngoz yake nzur mama ubaya sasa kaumuka kama zile maiti zilizokamatwa bunju

Binamu kwani si alishaacha jamani
 
Shoga yake cheus dawa anamshaur vibaya boss wake, anampa ma carolite anachanganya na maji ya betri ye ngoz yake nzur mama ubaya sasa kaumuka kama zile maiti zilizokamatwa bunju

Aangalie tu asije kuwa rainbow maana kila kiungo kina rangi yake... sura rangi ya njano, shavu jekundu,t*ko jeusi, macho ya blue... n.k
 
Ha ha ha binamu unamaneno wewe, du sikuwezi
 
Aangalie tu asije kuwa rainbow maana kila kiungo kina rangi yake... sura rangi ya njano, shavu jekundu,t*ko jeusi, macho ya blue... n.k

Kitu cha crazy color , mwenzio mama ubaya atakwambia fashion na misukule yake kule Insta itamgeza
 
Kwa hiyo sasa no pichaaa no kuuza suraa,teh dada yake Mange si amtumie sawa
 
Ila Gossipcopwarumi, wewe ni kiboko, huwa nabaki nacheka tu kwa post zako
Wapi warumi pacha wako

Shoga yake cheus dawa anamshaur vibaya boss wake, anampa ma carolite anachanganya na maji ya betri ye ngoz yake nzur mama ubaya sasa kaumuka kama zile maiti zilizokamatwa bunju
 
Last edited by a moderator:
Binamu za hasubuh? Halaf kila siku nakusalimia Mimi au ndo najipendekeza sana sikuelewi

Aaahhhhaa acha basiii, binamu naangalia kigodoro hapa mbavu sinaaa,za asubuhi nzurii tu kuanzia kesho nakusalimiaa
Mama abdul nomaaaa
 
Ahaha aahha ulikuwa hujaiona nini? , mi mwenzio siku inatoka tu ninayo mkononi, yani mama abdul mtambo sana , na riyama umeona mziki wake ?? Watu wanachambana hatar umo

Uwe unanisalimia bhna , tatizo lako wew ukiamka hasubuh unawaza maubuyu tu salam a ah hutak, wacha nitoe duku duku, mi nimemaliza
 
Hahhhhaa binamu nisamehe bana ,ndio naiona leo wanachambanaje na ni ya kishambenga kwelii nimeona mama Abdul balaaa, riyama anaongea kanenepa mashavu hayoooo
Kale kafupii kanafaa kawe ka mke kako
 
Kafupi ka Nani na wewe? Umeanza vitumbi

Ila mule kajala wamemuonea hawez uswaz ila ngoma nyingine hizo mmh wananuka uswazi kiama , kuna nyingine hiyo inakuja inaitwa CHAUSIKU starling shamsa ford hiyo ndo nyoko full vigodor michambo Massa 24 , chausiku mwenyew mweusii,mbea mtaa mzima kila siku anachambwa, halafu kashonea weaving la kijani yan full uswaz nimecheka sana ,hiyo nayo nuksi binamu
 
Bora watutolee tu za hivyo tuwe tunacheka sieee,kuna kale kafupiii ka emolo kanaitwa tausi yaan sijui ka wapiii, kana ta'ko hilo umekasahauu,mbona hiyo chausiku naisikia muda mrefu tu,au nyinginee
 
Ahaha tausi yule andunje, na wewe umenichoka binamu na wewe ila kana nyama ako hatar

Chausiku haijatoka ila inatangazwa sana
 
Kananichekesha hako yaan achaa !!!! Na hakakosi mwanaume hako
Binamu umbea huuu mpaka mboga imeunguaa nakuambia nna bahati hayupo msukuma wangu la sivyo ningepewa talaka hadi na yako na majobless wotee, umbea niachie mimii jamanii
 
Bora watutolee tu za hivyo tuwe tunacheka sieee,kuna kale kafupiii ka emolo kanaitwa tausi yaan sijui ka wapiii, kana ta'ko hilo umekasahauu,mbona hiyo chausiku naisikia muda mrefu tu,au nyinginee

Najisikia raha kuwaona timu yangu niipendayo ya jobless mkiwa active, mlezi wetu Matola naona yupo busy na mambo ya siasa.
 
Kananichekesha hako yaan achaa !!!! Na hakakosi mwanaume hako
Binamu umbea huuu mpaka mboga imeunguaa nakuambia nna bahati hayupo msukuma wangu la sivyo ningepewa talaka hadi na yako na majobless wotee, umbea niachie mimii jamanii

Mmmh na wew unapika uku unapiga umbea?
 
Eeee si wewe chanzooo

Mmmh ulinogewa na kigodoro, nimekuta umbea kule Insta kumbe mama ubaya na wolper ni mashost ? Nimekuta wanachat Insta kule nikajiuliza sijui Nani anataka awe mbeba mapochi Wa mwenzie maana wote wanajiona mastaa na wap juu
 
ngozi za bandia si zipo jamani. Platinamu hebu fanya mambo!
Eid yote hii bila picha instagiramu itakuwaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…