Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Picha harakaaaa
Hahaaaaa...!!!
Inaitwa michirizi ya utamu.
Ina matumizi yake....
Na pesa ya kwenda china sijui ataitoa wapiii AKOMEEE
yani ya kununua HUmmer iwepo lakini ya china ikose?
dina unatania!
amtumie anauwezo huo?wakati dada ake mwenyewe kafulia karudi Houston alikokua anakudis.chezea LA wewe.nilijua watu wanadanganya kumbe kweli karudi halafu kanywea na kapauka kama kanga za ktm mbagala.alikua hajui......kabla hujavuka mto.watu wanafull data jamani atakoma.I lv jamii forum where we dare to talk openly.Kwa hiyo sasa no pichaaa no kuuza suraa,teh dada yake Mange si amtumie sawa