Wema: Ugonjwa wa ngozi umeniaribu

Wema: Ugonjwa wa ngozi umeniaribu

OYOOOOOOOOOOOOOOOOO!
JAMANI mama ubaya najua unajijua ukisoma hapa naomba ujijue uwe unavaa mavazi kama suruali au nguo ndefu
kwani michirizi ya kwapa,miguu kifuani ni SHEDREEEEEE!
sasa huyo manager kazi yake nini kama hakushauri ni nguo aina gani uvae na kutokana ni michubuko ya madawa na sijui ndo wanaita unene!
IS TOO MUCH MADAME!....KABLA HUJATOKA OMBA USHAURI.
NI hayo tu!!
 
Hebu weka picha michirizi ni janga domo si amsaidie i feel sorry for her
 
huu ni umbea! habare bila picha ............
 
Team weeee maaaaa una
Wajua una waskia.watakuja kukutukana hapa.mpaka uombe poo
 
Aje kwangu nimpe dawa ya kutoa michirizi yoote aendelee kuwa cute maana nampenda sana jamani
 
hakuna mzuri wa milele. Tangu umeanza kumskia mpaka leo ni miaka mingp. Kwa mwanamke kudumu kwenye urembo kwa miaka mitano ni ishu anakua mbaya kadri imri unavyosogea
 
Hii tabia ya kupiga DEKI mtu anakuwa kama Michael Jackson bana!! Na huyo alikua ana hela sio wewe DEKI la elfu5


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo sasa no pichaaa no kuuza suraa,teh dada yake Mange si amtumie sawa
amtumie anauwezo huo?wakati dada ake mwenyewe kafulia karudi Houston alikokua anakudis.chezea LA wewe.nilijua watu wanadanganya kumbe kweli karudi halafu kanywea na kapauka kama kanga za ktm mbagala.alikua hajui......kabla hujavuka mto.watu wanafull data jamani atakoma.I lv jamii forum where we dare to talk openly.
 
Back
Top Bottom