Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Nilikuwa nafuatilia maisha ya mrembo huyu,tangu2006,nikiwa form one,lakini hadi Leo hazeeki,naomba sasa nipenyeze hapa kuitangazia jamii f,na mumfikishie ujumbe.....Nampenda sana si kwa kutafuta kiki hapana,natamani nionane Naye live ,nitaridhika ,nipo wazi sana,nataka ck moja afike mkoa wa Songwe.by MWL.MTT wa mkulima.naomba nifikishie taarifa tafdhali!
Tuna dushe kubwa lenye nguvu na akili nyingi hicho ndicho tulichowazidi wa nyie wa dar...😀Wanaume wa mikoani
Kumfuatilia wema toka mkiwa form 1 ndio akili?!Tuna dushe kubwa lenye nguvu na akili nyingi hicho ndicho tulichowazidi wa nyie wa dar...😀
Ndio je kama ni spy..Kumfuatilia wema toka mkiwa form 1 ndio akili?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]utarudi kijijini kwenu na boksa shauliyako kamuulize sijui ndo Sultan
HaaaaaaaaaaKwa uandishi huu, hata kivuli cha Wema huwezi kukiona!
Wewe ndo harmorapa vile?