Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
- Thread starter
- #21
Haina maana sijasoma,lahasha,naomba msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...acha longolongo;msaada hapa si kanisani!Haina maana sijasoma,lahasha,naomba msaada
spy mlaku?Ndio je kama ni spy..
Msaada gani?Haina maana sijasoma,lahasha,naomba msaada
Dah..Hela au vipodozi? Akae mbali na makemikali siku 3 tu utamsalimu "shikamoo bibi"hela haizeeshi
Acha uongo. Wema.ana miaka 24 sku zote.bado hajafikia umri wa kuzeeka now ana 30 bado sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uongo. Wema.ana miaka 24 sku zote.
Hamjuinkuchamba na maji,mkinya mnajiburuza.Kumfuatilia wema toka mkiwa form 1 ndio akili?!