Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Nilikuwa nafuatilia maisha ya mrembo huyu,tangu2006,nikiwa form one,lakini hadi Leo hazeeki,naomba sasa nipenyeze hapa kuitangazia jamii f,na mumfikishie ujumbe.....Nampenda sana si kwa kutafuta kiki hapana,natamani nionane Naye live ,nitaridhika ,nipo wazi sana,nataka ck moja afike mkoa wa Songwe.by MWL.MTT wa mkulima.naomba nifikishie taarifa tafdhali!