Kuna wengine kuwajibu ni kuwapa coverage wasiyo-deserve... kwangu kuna wengine naishia tu kuwapa "Like" kuonesha ni namna gani nimekuupuza!hahaha nitalifikiria. sasa ubaya ni pale ninapoamua kutomjibu mtu natafsriwa kuwa ni dharau na kiburi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wengine kuwajibu ni kuwapa coverage wasiyo-deserve... kwangu kuna wengine naishia tu kuwapa "Like" kuonesha ni namna gani nimekuupuza!hahaha nitalifikiria. sasa ubaya ni pale ninapoamua kutomjibu mtu natafsriwa kuwa ni dharau na kiburi.
kweli jeWomen like Wema Sepetu are not looking for the right man to marry. They are looking for the right man to divorce.
Ova
Women like Wema Sepetu are not looking for the right man to marry. They are looking for the right man to divorce.
Ova
mmh mama ubaya acha uongo looh, followers wote ulioanao ndomo aone likes za van vicker tu? mmh tupishe apa , mwaka mpya huu tunataka swaga mpya naona bado hujajipanga
Kuna wengine kuwajibu ni kuwapa coverage wasiyo-deserve... kwangu kuna wengine naishia tu kuwapa "Like" kuonesha ni namna gani nimekuupuza!
watajaza kurasa za sababu lakini Chibu ameshawa-prove wrong wale wote waliokuwa wanaamini eti anatembelea nyota ya Wema! Yaani mtu anayeachia ngoma kila wakati atembelee nyota ya msanii ambae hata kazi yake ya mwisho imetoka lini haifahamiki....
hana jipya huyo kwani van vicker ndo alimfata china?ndo alinunua BMW pyeeee
As far as I can remember, hio connection ya kufanya na Van Vicker movie alii set diamond, way before hawajaachana.. Zile safari za nigeria na ghana zilizaa matunda mengi zaidi ya Numbet one remix...
Sasa shigongo anakuja na uharo wake huu...
According to wema
Alimtumia van msg through insta direct
Ndipo walipoanzia